Monday, April 2, 2012

WANAFUNZI WA CHUO KIKUU MAARUFU HAPA NCHINI "WANASWA TENA WAKIVUNJA AMRI YA SITA" NDANI YA HOSTELI YAO

Baadhi ya madenti wa vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini, wameoza kwa matukio machafu ya ngono

Katika uchunguzi wetu unaondelea mpaka sasa, Wapekuzi  wetu wameendelea kuusaka ukweli na kufanikiwa kunasa matukio mengi machafu yaliyopitiliza ya vitendo vya ngono ambapo wanafunzi wawili wanaosoma chuo maarufu  jijini Dar es Salaam na wanaoishi katika hosteli maarufu ya....(hakuna haja ya kutaja jina maana picha zinajieleza)  walinaswa laivu  wakifanya uchafu ndani ya hosteli hiyo.
Data zilizokamilika zinaonesha video ya tukio zima la "UCHAFU" walioufanya na "KUUREKODI" wao wenyewe kwa hiari yao.Hivi sasa imekuwa ni mila na desturi kwa wanafunzi wengi kuiga tamaduni chafu za nje na hatimaye kutumia simu zao na wakati mwingine kamera na laptop kurekodi uchafu waufanyao ndani ya hosteli zao. 
Habari za upekuzi wetu zinaonesha wazi  kuwa wanafunzi wengi wa kike wamekuwa wakijihusisha na vitendo haramu vya ngono rejareja na wanaume  wakiwa katika hosteli zao kwa kisingizio  cha ugumu wa maisha..

Harakati hizo za kujikomboa kimaisha zinawafanya kuwa watumwa wa mapenzi mithili ya watu wanaojiuza na wakati mwingine hufanyishwa mapenzi kinyume na maumbile yao kwa makubaliano  ya pesa. 
Hata hivyo, ripoti ya uchunguzi wetu haikufanikiwa kuyatambua majina halisi ya wanafunzi hao , isipokuwa ilifuma picha na video chafu za wanafunzi hao wakiwa ndani ya majengo ya umma (hosteli)
Mbali na matukio hayo yaliyosheheni katika makabrasha yetu, uchunguzi umebaini kuwa, siyo kila mwanachuo anayepata nafasi hiyo adimu ya kujiunga na elimu ya juu anafanya kile kilichokusudiwa, badala yake wanafanya kinyume kwa kujihusisha na vitendo haramu  vya ngono.

Imebainika kuwa wanaoishi hosteli ndiyo wanaoongoza kwa uchafu huo kwa sababu wana uhuru wa kufanya hivyo bila kubanwa hivyo kugeuza vyumba vyao madanguro.


Wakijitetea kwa nyakati tofauti, baadhi ya wanafunzi walidai kuwa tatizo ni Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ambayo haiwapi fedha kwa wakati muafaka na kuulalamikia utaratibu mpya wa sasa na hivyo kutafuta njia mbadala za kujiongezea kipato.


 TUMESHINDWA KUIWEKA VIDEO HIYO KUTOKANA NA SABABU ZA KIMAADILI
Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )