Thursday, May 24, 2012

WAPEKUZI WETU HAWAMUACHII J.LO APUMUE, HIZI NI PICHA ZAKE NYINGINE NA BOYFRIEND MPYA.

Hizi picha zimepigwa wakati J.lo akiwa na mpenzi wake Casper Smart ambae pia ni Dancer wake, hapa walikua wametoka shopping The Grove in Los Angeles Marekani.

Hili ndio gari J.Lo alilomnunulia mpenzi huyo mpya siku kadhaa tu baada ya kuachana na mumewe Marc Anthony.

Advertisement
==

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Mpekuzi Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )