Friday, June 15, 2012

JACK WA CHUZ AAMUA KUUZA NGUO YAKE YA NDANI


Katika kuonyesha kuwa anaguswa na kilichotokea, ‘star’ kutoka tasnia aya filamu bongo Jackline Pentezel, ‘Jack wa Chuz’ amesema kuwa anaiweka sokoni ‘ kufuli ‘ yake aliyokuwa amevaa siku alipododoka ‘on bed’ na msanii mmoja maarufu hapa nchini.

Jack aliyeibukia kutoka tamthilia ya ‘Jumba la dhahabu’ ameiambia blog hii kuwa anataka kufanya jambo hilo ili kukusanya mkwanja wa kumsaidia nyota mwingine kutoka ‘Bongowood’ Elizabert Michael ‘Lulu’ anayesota korokoroni hivi sasa akituhumiwa kuhusika na mauaji ya King wa tasnia hiyo Marehemu Stevin Kanumba.

“Siyo kama sina pesa za kumsaidia Lulu ila nimemua kufanya hivyo kwa imani kubwa kuwa nitakusanya pesa nyingi zaidi kutoka kwa watu ambao watajitokeza kutaka kuinunua nguo hiyo” alisema Jack.

Katika hatua nyingine Jack ameuarifu mtandao huu kuwa chu*I hiyo ina belt ndogo iliyotengezwa kwa almasi kwenye sehemu yake ya juu hivyo anataka kuiuza kwa kiwango cha kuanzia dola 200 na amepanga kutangaza rasmi tarehe ya m nada siku atakaporejea kutoka kutoka jijini Mwanza kufuatia mwaliko wa kuafanya muvi alioupata kutoka kampuni moja ya jijini humo.
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )