Thursday, August 9, 2012

AGNESS MASOGANGE: NITAZISAMBAZA PICHA ZA UTUPU ZA SINTAH MUDA WOWOTE KUANZIA SASA


WAKATI bifu la wasanii Christine John ‘Sintah’ na Agnes Masogange likizidi kuchukua sura mpya kila kukicha, mwanadada Agnes amefunguka na kudai hata yenye ana baadhi ya picha za Sintah amabazo zinamuonesha akiwa na msanii mmoja wa muziki wa kizazi kipya wakifanya mapenzi amabazo walipiga pindi walipokuwa hotelini.

Kauli ya
Agnes imekuja baada ya Sintah kudaiwa kuwa ndiye aliyetoa video yake ya utupu ambayo imekuwa ikisambaa kwenye mitandao kitu ambacho kimemfanya kupoteza heshima yake kwa jamii na watu wanaomzunguka.

Agnes
akiongea na mwandishi wetu, alidai kuwa anafikiria kuzitoa picha hizo ambazo zinamuonesha Sintah akiwa mtupu chumbani ingawa anamuheshimu msanii ambaye yupo naye kwenye picha hizo kwani ni rafiki yake.

“Sintah ndiye alitoa video hizo na nitaendelea kumlaumu kila siku, lakini kama amefanya hivyo sawa ila ajue kwamba hata mimi nina picha zake za uputu ambazo alizipiga walipokuwa hotelini na msanii mmoja maarufu ingawa siwezi kumtaja jina,” alisema
agnes.

Aliongeza kuwa baada ya kusambaa kwa picha zake kwenye mitandao alijikuta katika wakati mgumu kwani zimemdhalilisha kwa kiasi kikubwa, hivyo anapanga mashambulizi ya kulipa ili naye aweze kuonekana umbo lake hadharani kama alivyofanya kwake.


Kauli hiyo ya
Agnes ilijibiwa na Sintah, ambae naye alidai kuwa hakuna mtu ambaye ana  picha zake na anamshangaa Agnes kwa kuongea ishu hiyo kwani hakuna msanii yeyote wa kiume anayetoka naye kimapenzi.

“Sasa naona huyo mtoto ananitafutia makubwa mimi sitoki na msanii yeyote hapa Tanzania sasa inakuwaje anasema kuwa ana picha zangu za utupu, kama anazo sawa azitoe tu si anataka kunikomesha tutaoneshana tu,”
alidai Sintah.

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )