MSANII wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Rehema Chalamila ‘Ray C’, amerejea Bongo na kutangaza kusaka mume huku akiweka wazi vigezo anavyotaka awe navyo.....
Ray C aliyekuwa amejichimbia nchini Kenya, amesema mwanaume atakayeweza kupata penzi lake anatakiwa kuwa na elimu ya kawaida, maendeleo, asiwe mwanamuziki wala pedeshee, awe na mvuto na mwenye kuyajua vizuri mapenzi.

Mwanadada huyo ameongeza kuwa mwenye sifa hizo akipatikana, atamzalia watoto wawili na kujenga naye familia bora kwani amechoshwa na maisha ya usela.......
Kuchoshwa kwa MAISHA YA USELA kunakuja baada ya Ray C kutoa mkanda wa ngono na kundi kadhaa la wanaume.......Namaanisha wanaume na siyo mwanaume mmoja.
Cd hizo ambazo zilisambaa kwa kasi sana nchini Kenya zilikuwa zinauzwa Sh. 15000 za Kikenya kwa kila moja....
Najiuliza, Ni nani aliye tayari kuoa mcheza X? Kwani wamekwisha?.....
Huu ni mtazamo wangu. Nawatakia kila la heri mlio tayari
VYANZO:
>> MASHADA
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )