Tuesday, August 21, 2012

NANCY SUMARY AANZISHA WEBSITE KWA AJILI YA FASHENI MBALIMBALI ZA AKINA MAMA051d7f8ed42211e199e022000a1e888d_7
Miss Tanzania mwaka 2005 Nancy Sumari ameanzisha website iitwayo www.mamazuri.com aliyoianzisha kutokana na kufurahia maisha kama mama.
ab2f58d0eb5a11e1baac22000a1cddc4_7 
“Idea hii niliipata baada ya kumpata Zuri, cause ninaenjoy sana maisha ya Umama na mtoto wangu anavyokua nazidi kujifunza vitu vingi zaidi,” ameaimbia Leotainment. 

So i have decided kuanzisha a mommy blog ambapo nitakua nashare experience zangu na Mama wengine pamoja na kuwashirikisha wazazi kushare experience zao na watoto hao, pia na vingine vingi kama Mommy Fashion, Baby Fashion, Good Schools, Nutrition na vinginevyo, to be able to share and learn from others as well.” 619b3b109c0b11e1af7612313813f8e8_7Nancy anafurahia maisha kama mama

Welcome to my "Mumy Blog" 

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )