Friday, September 21, 2012

UVAAJI HUU NI AIBU NA PIA NI CHANZO KIKUBWA CHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUMEWANAWAKE  WAMECHANGIA  TATIZO LA  UKOSEFU  WA  MBEGU ZA KIUME KWA  ASILIMIA 100 ........

HII NI  KUTOKANA NA TABIA YAO  YA KUANIKA VIUNGO NYETI  HADHARANI  KAMA  MATITI, MAKALIO  YAO NA  MAPAJA..........


ZAMANI  ILIKUWA  KWAMBA UKILIONA  PAJA  LA  MWANAMKE, NI  LAZIMA USISIMKE........WALIOZALIWA MIAKA  YA 80  NA KURUDI NYUMA  WANAJUA.......

LEO HII  TUNAKAA  NA WADADA  WAKIWA NUSU  UCHI, MIPAJA YAO  IKIWA NJE NJE  KIASI  KWAMBA TUMEFIKIA HATUA  TUNAONA NI JAMBO LA KAWAIDA SANA........


NI  UKWELI  USIOPINGIKA  KUWA WANAWAKE WAMEWAHARIBU SANA WANAUME KIHISIA.....PAMOJA NA JITIHADA ZOTE  ZAKUWASEMA NDO KWANZA WANAONGEZA VITUKO

 HAPA NI  KUMKUFURU MUNGU.......ACHENI MAMBO  YA  KUIGA......NIKUJIDHALILISHA.
Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )