Friday, November 2, 2012

UKIMUONA RAY C UTAMWAGA MACHOZI......HIZI NDO PICHA ZAKE JINSI ALIVYOATHIRIWA NA MADAWA YA KULEVYA

Mpekuzi blog
HAYA  NDO  MADHARA  YA   BANGI NA MADAWA YA KULEVYA......NI BORA  TUJIFUNZE  KUTOKANA  NA MAKOSA....

RAY C ANATIA HURUMA.LAWAMA  ZOTE ZIMEELEKEZWA KWA  LORD  EYEZ  AMAYE NDIYE ALIYEMFUNZA KUTUMIA  MADAWA YA  KULEVYA 

SHUKRANI ZA DHATI KWA GLOBAL PUBLISHER: 
HABARI IMEANDIKWA KWA KIREFUKATIKA GAZETI LA LEO LA  IJUMAA
Mpekuzi blog
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )