Tuesday, September 17, 2013

Hii ni video ya akina mama Wakimlilia sheikh ponda alipofikishwa mahakamani leo


Hatimaye mahakama ya hakimu mkazi Mkoa wa Morogoro imeamua kumnyima dhamana katibu wa jumuiya na taasisi ya kiislamu nchini Sheikh Ponda Issa Ponda anayekabiliwa na mashitaka matatu ambayo ni kutokutii amri halali, kuharibu imani za dini na kushawishi na kutenda kosa...

Hii  ni  ripoti  ya  ITV ikiwaonesha  wafuasi  wake  wakiwemo  akina  mama  ambao  walikuwa  wakitokwa  machozi  mahakamani  hapo.

Advertisement
==

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Mpekuzi Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )