Wednesday, September 18, 2013

JOHARI na CHUCHU HANS WAPIGANA HADHARANI KISA PENZI LA RAY ( Vicent Kigosi)


Kuna habari  ambazo zilianza kusambaa mitandaoni jana  kuwa mastaa wa filamu nchini Chuchu Hans na Blandina Chagula(Johari) wamefumaniana kisa ni muigizaji mwenzao Vicent Kigosi(Ray). 

Inadaiwa kuwa Johari ndiye amemfumania Chuchu nyumbani kwa Ray maeneo ya Sinza, Dar es salaam na wawili hao kuanza kufumuana makonde na baadaye Ray kuwahi kuwaamulia kabla mambo hayajaharibika zaidi. 

Habari za chumbani  zinaarifu  kuwa Johari na Ray ni wapenzi lakini kwa muda mrefu  wamekuwa  wakijicha  kukwepa  kuanikwa  magazetini.

Tunaendelea  kuifuatilia  habari hii...
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )