Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Monday, January 5, 2015

Sheikh Ponda Anyimwa Dhamana

adv1

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro imemnyima dhamana Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa katika kesi yake ya jinai namba 128 ya mwaka 2013 leo.
 
Kesi hiyo imesikilizwa na Hakimu Mkazi Mfawidhi, Marry Moyo ambaye amesema amepokea hati ya kumfutia dhamana Sheikh Ponda kutoka kwa Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) kwa mamlaka aliyonayo hivyo yeye hana mamlaka ya kuikataa hati hiyo.
 
Kesi hiyo imeahirishwa mpaka Januari 26 na 27, mwaka huu itakaposikilizwa tena.
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )