Monday, October 17, 2016

Mchungaji Ajibu Tuhuma Za Kukutwa Na Mafuta Ya Mchekanambingu

VERA  SIDIKA: Miongoni  mwa  wakenya  maarufu  wanao daiwa  kutumia  mafuta  ya  mchekanambingu  kwa  ajili  ya  kungarisha  nyota  zao
*****

Mchungaji   Lewis  Njoroge  wa  kanisa  la  New  Tongue  Faith  lililopo  jijini  Nairobi  hapa Kenya, ameibuka  na  kujibu  tuhuma  zinazo  mkabili  za  kukutwa  na  mafuta  ya  MCHEKANAMBINGU.

Pastor   Njoroge  ambae  kwa  muda  mrefu  sasa  amekuwa  akiwatahadharisha  waumini  wake  na  wakenya  kwa  ujumla  kuhusu  kutotumia   MAFUTA  YA  MCHEKANAMBINGU  kwa  madai  kuwa  ni  MAFUTA  YA  KUZIMU  , wiki  iliyopita  aliripotiwa  na  vyombo  mbalimbali  vya  habari  nchini  Kenya, akidaiwa  kujipata  matatani  baada  ya  Mafuta  ya  MCHEKANAMBINGU  kukutwa  ofisini kwake.

Mara kadhaa  Pastor  Njoroge  maarufu  kama  Pastor  Njoroo,. Amekuwa  akiwakemea  waumini  wake  pamoja  na  wakenya  kwa  ujumla, kutothubutu  kutumia  MAFUTA  YA  MCHEKANAMBINGU  kwa  sababu   ni mafuta  kutoka  kuzimu,  yanayo  tolewa  na  mganga  wa  jadi  kutoka  Tanzania, ajulikanae  kama  mungu  wa  kabili, ambae  kwa  mujibu wa  PASTOR  Njoroge , ni  wakala  wa  kuzimu.

Pia  Pastor Njoroge  amekuwa akiwatuhumu  baadhi  ya  wachungaji, wasanii  wakubwa  na wafanyabiashara  maarufu  kujihusisha  na  matumizi  ya   mafuta  ya  mchekanambingu.

Aidha Pastor  Njoroge  amewahi  kunukuliwa  akitoa shutuma  zake  kwa  baadhi  ya  magazeti  ya  Kenya,  akivitumuhu  ku wahamasisha  vijana  kutumia mafuta  ya  mchekanambingu.

“ Sasa  hivi, kila  mtu  akiwa  maarufu  na  kupata  mafanikio  hapa  Kenya, magazeti  yana  muhusisha  mtu  huyo  na  mafuta  ya  mchekanambingu.  Matokeo yake  sasa  hivi  kila  kijana, anafikiri  hawezi kufanikiwa  katika  jambo  lake  bila  kutumia  mafuta  ya  mchekanambingu “….

Pastor  Njoroge  aliongeza  kwa  kusema  kuwa  mafuta  ya  mchekanambingu  ni mafuta  kutoka  kuzimu, na  yoyote  atake  jipaka  mafuta  hayo  anakuwa  amejiunganisha  moja  kwa  moja  na  utawala  wa  kuzimu. Mafanikio  atakayo  yapata  yatakuwa  ya  muda  mfupi  tu na  malipo  yake  yatakuwa  makubwa  kuliko  mafanikio  aliyo  yapata.

Wiki mbili  zilizopita  vyombo  mbalimbali  vya  habari  nchini  Kenya, viliripoti kuhusu  tuhuma  za  kukutwa  kwa  mafuta  ya   mchekanambingu  kwenye  ofisi  za  Pastor Njoroge, jambo  ambalo lilizua  mtafaruku  mkubwa  kati  ya  Pastor  Njoroge  na  waumini wake.

Inaelezwa kuwa, mmoja  kati  ya  wazee  wa  kanisa  la  New Tongue  Faith, aliingia  ofisini  kwa  Pastor Njoroge  kwa  ajili  ya  kuchukua  documents. Sasa  wakati  anapekua  makabrasha  katika  ofisi  hiyo  alishangaa  kukuta  kibox  chenye  vichupa  vinne kikiwa  sambamba  na  karatasi  yenye  maelekezo  ya  jinsi  ya  kutumia  mafuta  ya  mchekanambingu.

Ikadaiwa  kuwa, baada  ya  kuulizwa  kuhusu  mafuta hayo  yamefikaje  ofisini  kwake, Pastor Njoroge  hakuwa  na majibu  yenye  kueleweka.

Suala  hili  lilifika  kwa wazee  na  viongozi  wa  kanisa  kwa  ajili  ya  kulijadili  na  baadae  likavuja  kwa  waumini.

Akifanya  mahojiano na  kituo  kimoja  cha  redio  nchini  Kenya, Pastor  Njoroge  alisema “  Mafuta  hayo  yalipandikizwa  ofisini  kwake,  kwa  lengo  la  kumchafulia  jina  lake “.

“ Ndugu  mwandishi, vita  vyetu  si  kwa  jinsi  ya  mwili. Vita tunavyopigana wakristo  ni  vya  rohoni. Nina  wapinzani  wengi  sana  ambao  wanajaribu  kunikwamisha, lakini  ninasema  watashindana  lakini  hawatashinda “.

Tulimpigia  simu  dokta  mungu  wa  kabili  kupitia  namba  yake  0744 000 473  ili  atueleze  kama  anamfahamu  Pastor  Njoroge, alijibu  kwa  ufupi  “ Simfahamu “

Mafuta  ya  mchekanambingu, yamekuwa  maarufu  sana  hapa  nchini  Kenya, ambapo  inasemekana  kuwa  yanatumika  kwa  kazi  mbalimbali  kama  vile kusafisha  nyota, kusafisha  mwili, kumkinga  mtu  dhidi ya  maadui,  kuimarisha  mahusiano  ya  kimapenzi, kuharakisha  ndoa, kumvuta mpenzi, kuwakinga  watoto,  kukuza  biashara,  uongozi  nakadhalika, huku  wateja  wake  wakubwa  wakitajwa  kuwa  wanasiasa  wakubwa, viongozi, wafanya  biashara, wasanii  wa  muziki, nakadhalika.

SOURCE : VYOMBO  MBALIMBALI  VYA  HABARI  NCHINI  KENYA.

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )