Friday, May 12, 2017

Jinsi Dawa ya Mkono wa Mtoto Inavyotengenezwa

Na. DOKTA  MUNGWA  KABILI  ……….. 0744 -000-473
MKONO  WA  MTOTO  a.k.a  PESA  HAIENDI  BURE  ni  dawa  ya  asili inayo  tumika  kwa  ajili  ya  kuongeza  ukubwa  wa  maumbile  ya  kiume . 

Watu  wengi  wanapiga  simu  kuuliza  jinsi  tiba  hii  inavyo  tengenezwa.  Na  ytafuatayo  ni  maelekezo  ya  jinsi  tiba  ya  Mkono  wa  mtoto   inavyo  tengenezwa.

Kutengeneza  tiba  ya  mkono  wa  mtoto, unachukua   dawa  ya   mkono  wa  mtoto  iliyo kaushwa  na  kusagwa  kiasi  cha  vijiko  vinane   vikubwa,  unachukua  dawa  inaitwa  FIL FIL  ABYADH   ya  unga vijiko  vinne  vikubwa , unachukua  dawa  inaitwa   DAARU  FIL FIL   ya  unga  vijiko  vinne  vikubwa, ( kamwe  usichanganye  na  FIL FIL  ASWAD ) .

Baada  ya  hapo   unachukua   dawa  inaitwa   AMBARI  NYEUPE  ORIJINO  YA  BAHARINI  ( HAPA  UNASHAURIWA  UPATE  ILE  AMBARI YA  RUFIJI , BAGAMOYO  AU  PEMBA  na  Usiichanganye  na  ZINDUNA  ( Kwa wasio fahamu  kuhusu  Zinduna, hii Zinduna  ni  dawa  Fulani  hivi  ya  baharini  ambayo  hufanana  na  sandarusi.

Sasa  basi  katika  hii  AMBARI   yako  usiichanganye  na  hii  Zinduna  kama  baadhi  ya  watu  wanavyo  fanya )

Baada  ya  hapo  unazichukua  dawa  zote  hizi  unazipika  kwa  pamoja  kwenye  MAFUTA  YA  MZEITUNI  ORIJINO  (  YALE  YA  HISPANIA )  kiasi  cha  lita  tano  pamoja  na  MAFUTA  YA  MNYONYO.

Pika  hadi  dawa zako zote  hizi  zichanganyikane   na kushikamana  kisha  ipua  na  uhifadhi  kwenye  chombo  kisafi.

Utatumia  kuuchua  uume  wako  mara  mbili   kwa  siku  asubuhi  na  jioni  kwa  muda  wa  siku  thelathini.

Kama  utataka  uongezeke  zaidi  utaongeza  muda  wa  kujichua.

Hii ni tiba  SAHIHI kabisa  na  MUJARABU sana   kwa  wanaume  wenye  tatizo  la  maumbile madogo  na  yaliyo  sinyaa.  

 Inasaidia  kuimarisha  mishipa  ya  uume  na  kuufanya  uume  kuwa  imara  na  wenye  nguvu  pamoja  na  kunenepesha  na  kurefusha  maumbile  ya  kiume.

IMETAYARISHWA  NA  DOKTA  MUNGWA  KABILI….0744 -000-473

www.mungwakabili.blogspot.com
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )