Friday, May 19, 2017

OFA: Jipatie Riwaya Kalii Iitwayo My Mom's Friend Toka Kwa Mtunzi Makini Eddazaria

OFA YA WEEKEND. PATA KITABU CHA MY MOM'S FRIEND KWA SH 7000 TU KUPITIA WHATSAPP 0657072588 au EMAIL eddazariaM@gmail.com  

"Rafiki wa mama anaweza kuwa kama mama kwako kwani heshima ambayo unampatia mama yako ndio hiyo unayo stahili kumpatia na yeye. Ila hali imekuwa tofauti kwa mama Caro, uchu wa mapenzi unamfanya afanye juhudi ya kumpeleka mbele za haki rafiki yake kwa ajili ya kuhakikisha kwamba ana nasa kwenye penzi la mtoto wa rafiki, yake kitu kinacho pelekea kuharibika kwa maisha kwa kijana huyo, chuku, uhasama na uadui mkubwa unatawala katikati yao."
 
Ungana nami kwenye kisa hichi cha kusisimua kilicho andaliwa nami Eddazaria G.Msulwa
 
NAOMBA MUZIDI KU SUPPORT KAZI YANGU YA UANDISHI KWA KUNUNUA KITABU HICHI NA VINGINE VINGI. Wasiliana nami 0768516188 au 0657072588
KARIBUNI SANA
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )