Sunday, June 25, 2017

OFA: Jipatie kitabu cha PRESIDENT WIFE na AM NOT A DOCTOR......Ni Riwaya Kali za Kusisimua

PATA PUNGUZO LA BEI KATIKA SIKUKUU HII
Jipatie kitabu cha PRESIDENT WIFE na AM NOT A DOCTOR kila kimoja kwa sh 5000 Tu.
 
Vitabu hivi vipo katika mfumo wa softy copy na vinapatikana kupitia Whatsapp 0657072588 au kwenye email eddazariaM@gmail.com

OMBI KWA WASOMAJI WANGU WOTE
Natafuta wadhamini wa kunisaidia kutoa kitabu cha SORRY MADAM season one na two katika mfumo wa HARD COPY. 

 Ukipenda kuwa MDAU naomba uwasiliane nami kupitia simu namba 0657072588 au 0768516188 naamini wote mumepitia kazi zangu na mumeona uwezo wangu. 

Naamimi kupitia nyinyi wadauo wangu wote, mutanisaidia katika kukuza kipaji changu kadri siku zinavyo zidi kwenda na mimi sinto waangusha katika kuwaandalia hadithi nzuri na bora zaidi. Nitafurahi sana siku nikifanikisha kutoa nakala za vitabu vyangu. 
 
Karibuni sana.
Ninawaakia sikukuu njema ya EID MUBARAK

Advertisement
==

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Mpekuzi Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )