Wednesday, July 26, 2017

Jipatie Riwaya Kali ya Kusisimua ya PRESIDENT WIFE Toka kwa Mtunzi makini

NUNUA SASA KITABU CHA PRESIDENT WIFE kwa Tzsh 10000/= Upate muendelezo wa kitabu cha Sorry Madam Destination of My Enemies
 
"Baada ya utawala wa mzee GODWIN na MANKA kutolewa madarakani na EDDY DODWIN, adui mkubwa wa Eddy, JOHN anachukua madaraka ya Mzee Godwin na kuapa ni lazima ataamuangamiza Eddy aliye kuwa rafiki yake wa kipindi kirefu toka wakiwa sekondari. Rahab anaongoza nchi huku kijana machachari Adrus akiwa mlinzi makini kuhakikisha maisha ya mke wa raisi yanakuwa salama, ila K2 na kaka yake wanajawa na uchu wa madaraka na kuhakikisha kwamba wanauangusha uongozi wa Raahab, ila Eddy anasimama kama ngao na kupigania uongozi wa Rahab je atafanikiwa"
 
Ungana nami muandishi wako Eddazaria G.Msulwa katika hadithi hii ya kusisimua

Kitabu hichi kinapatikana katika mfumo wa softy copy kupitia Whatsapp 0657072588 au Email eddazariaM@gmail.com
Pia unaweza wasiliana nami muandishi wa story hizi kupitia simu namba 0657072588 au 0768516188

Advertisement
==

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Mpekuzi Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )