Monday, August 7, 2017

Kisa Maradhi Ya Kisukari, Mke Amkimbia Mume Wake Na Kuhamia Kwa Jirani !

Mwanaume    mmoja  wa  makamo mkaazi  wa  mkoani  Morogoro, nchini  Tanzania, amekutana na  adha  ya  maisha, baada  ya kukimbiwa    na  mke  wake wa ndoa huku  sababu  kuu    ikitajwa kuwa  maradhi  ya  kisukari  yanayo mkabili  mwanaume  huyo kwa  muda  mrefu.

 Shuhuda  wa  kisa  hiki, ameeleza  kuwa,  mwanamke  huyo  baada  ya  kumkimbia  mume  wake  wa  ndoa, amehamia  kwa  mwanaume  mwingine  ambae  anaishi  katika  nyumba  jirani  na  ananapoishi  mume  wake  huku  akimuacha  mumewe  akiwa  anateseka  na  maradhi  ya  kisukari pasi  na  msaada  wowote !

Kusoma  zaidi  habari  hii  na  kusikia  sauti   <<BOFA HAPA>>Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )