Thursday, August 3, 2017

Kujichua Kulisababisha Maumbile Yangu ya Kiume Yapinde

TATIZO  LA  UUME  KUPINDA
Habari  za  kazi, mimi ni mwanaume  mwenye  umri  wa  miaka  44.Nimejihusisha  na  tabia  ya  kujichua  kwa  zaidi  ya  miaka  kumi.

Sasa  hivi  uume  wangu  umepinda kuelekea  upande  wa  kulia. Hali  hii  huwa  hivi  hivi  hata  ninapo  kuwa  nime  erect.

Na  ninapokuwa  nafanya  tendo  la  ndoa, misuli  ya  uume  huwa  inauma  sana  hasa  hasa  baada  ya  kufika  kileleni.

Pia  manii  huwa  hazimwagiki  kwa  kasi  na  mara  nyingi  huwa  hazitoki kabisa , zinabaki ndani  kwenye  mirija.

Nimejaribu  kutafuta  ufumbuzi  wa  tatizo  hili  kwa  muda  mrefu, pasi  na msaada  wwowote.

Tafadhali naomba  nisaidieni  kupata  ufumbuzi  wa  tatizo  langu.Tatizo  la  uume  kupinda  eidha  upande  wa  kulia  ama  upande  wa  kushoto ni  tatizo  linalo  wakabili  wanaume  wengi  duniani.

 Kufahamu  kuhusu  chanzo  cha  tatizo  hili  na  jinsi  unavyo weza  kujiepusha  nalo  ama  kutibu  tatizo  hilo tafadhali  tembelea  link  hii  hapa  chini;

==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )