Wednesday, August 23, 2017

Magazeti yote Tanzania yanatakiwa kusajiliwa upya

Msemaji wa Serikali  Dk Hassan Abbasi  amesema kwamba kuanzia leo hadi Oktoba  15, Magazeti yote yataanza kusajiliwa upya.

"Baada ya Oktoba 15, 2017 hakuna atakayeruhusiwa kuchapisha bila usajili"Amesema Dk Abbasi na kuongeza;

"Mfumo mpya wa utoaji wa leseni kwa machapisho yote umeanza rasmi leo ‘’

Amesema  taratibu zote za upatikanaji wa leseni zimewekwa katika tovuti   http://www.maelezo.go.tz "-

Mawasiliano kwa ajili ya ufafanuzi kuhusu utaratibu wa usajili ni 0622664606 na 0717312417 au kupitia maelezo@habari.go.tz
==
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )