Thursday, November 30, 2017

Misukule Wa Nguvu Za Kiume

IMESIMULIWA  NA  DOKTA  MUNGWA  KABILI
SIMU  :  0744  -  000  473 .

MISUKULE   WA  NGUVU  ZA  KIUME
Msukule  ni nini ?
Msukule  ni  mtu  au  sehemu  ya  mtu  iliyo  chukuliwa  na  kufichwa kichawi  kwa  lengo  la  kutumikishwa  kazi  na  shughuli  mbalimbali   za kichawi.

Misukule  wengi  wanao  chukuliwa , huchukuliwa  kwa  lengo  la  kutumikishwa  kwenye  mashamba, biashara,migodi, uvuvi, masokoni, madukani, ulinzi  na  kwenye  shughuli  mbalimbali  za  kichawi.

Kwa  ufupi  misukule  wengi  huchukuliwa  kwa  sababu  ya   masuala  ya  mali  na  utajiri  wa  kichawi.

Misukule  wengine  huchukuliwa  kwa  ajili  ya  kufanya  kazi  ya  chuma  ulete. Hawa  ni  maarufu  miongoni  mwa  wale  ndugu  zangu  wanao pewa  utajiri  wa  punje  za  kuku.

Kwa  msio fahamu  kuhusu  utajiri  wa  aina  hii  ni  kwamba,  kuna  vijiji  fulani  vipo katika  wilaya  mbili  maarufu  huko  nyanda  zap  juu  kusini, hutolewa  utajiri  wa  kichawi  maarufu  kama  utajiri  wa kudonoa  ama  utajiri  wa  kuku, ama utajiri  wa  kuuza  miaka.

Mtu  anayefanyiwa  kafara  hii   huingia  agano  maalumu  la  kichawi   la  kuuza  haki  yake  ya  kuishi  duniani.

Mtu huyu  atatazamwa  kichawi  ili kubaini  amebakiza  miaka  mingapi  ya  kuishi  hapa  duniani.

Kama  amebakiza  miaka  ishirini  basi  ataingizwa   katika mkataba  na  wachawi  kutoa  sadaka  baadhi  ya  miaka  yake .   Mfano   katika  miaka  ishirini  iliyo baki,  anaweza  akaambiwa  atoe  miaka  kumi  au  kumi  na  tano  au  minane .

Kitakacho  amua  idadi  ya   miaka  ya  kuishi  ya  mtu huyo  ni jini aliye  katika  mfumo  wa  kuku.

Zitachukuliwa  punje  za  mchele  zitawekwa  ardhini  halafu  kuku  huyo  ataanza  kudonoa  punje  moja  baada  ya  nyingine.

Idadi  ya  punje  atakazo  donoa  kuku  huyo  ndio  idadi  ya  miaka  ambayo  mtu  huyo  ataishi. Kama  miaka  ya  kuishi  ya  mtu  huyo  ni  ishirini  halafu kuku  akadonoa  punje  kumi  na  mbili, basi  maana  yake  ni kwamba  mtu huyo  ataishi  miaka  kumi  na  mbili  ya  utajiri  mkubwa  halafu  miaka  minane  iliyo  baki  ataenda  kuitumikia  kama  msukule.

Kinacho  tokea  hapo  ni  kwamba, muda  wa  mtu  huyo unapomalizika, mtu  huyo  anachukuliwa  kama  msukule  na  kwenda  kutumikishwa  kwenye  migodi  iliyopo  huko  Congo   au kutumika  katika  kuhamisha  mali  za  mtu  ambae  muda  wake  wa  kuishi  kitajiri  umekwisha  kwenda  kwa  mtu  mpya  ambae  anakuwa  ameingia  kwenye  mkataba  huu  wa  utajiri  wa  kichawi.

  Nitalizungumzia  kwa  kina  suala  hili  katika  makala  zangu  zijazo.

Kama  nilivyo  dokeza  hapo  awali, msukule  anaweza  kuchukuliwa  kama  mtu  mzima, au  sehemu  ya  mtu  kama  vile  akili, nyota  ya  mtu, nguvu  za  kiume, mbegu  za  uzazi  kwa  wanaume  au  mayai  ya  uzazi  kwa upande  wa  wanawake , jicho moja , macho  yote  mawili  nakadhalika.

Msukule  huitwa  jina  tofauti  kulingana  na  sehemu  ya  mwili  wake  iliyo  chukuliwa  msukule.   Kwa  mfano, mtu  aliye  chukuliwa  akili  zake  huitwa  ndondocha

Watu  wengi  wanafahamu  kuhusu  watu  kamili  walio  chukuliwa  misukule lakini  hawajui  kuhusu  watu  ambao  wamechukuliwa  nguvu  za  kiume.

NI   NANI   HAWA   MISUKULE  WA  NGUVU   ZA  KIUME  ?
Msukule  wa  nguvu  za  kiume  ni  mwanaume  mwenye  kusumbuliwa  na maradhi  ya  nguvu  za  kiume  yanayo  tokana  na  kurogwa.

Msukule  wa  nguvu  za  kiume  ni  mwanaume  ambaye  nguvu  zake  za kiume  zimechukuliwa   na  kufichwa  kichawi  kwa  lengo  la   kutumikishwa  kama  msukule.

Msukule  wa  nguvu  za  kiume  ni  mwanaume  ambae  nguvu  zake  za kiume  zimetolewa  kafara  kwa  ajili  ya  mali, biashara  na  utajiri  wa  kifisadi  ama  utajiri  wa  kichawi.

  AINA  ZA  MISUKULE  WA  NGUVU  ZA  KIUME

 Misukule  wa  nguvu  za  kiume  wapo  wa  aina  kuu  mbili  :

AINA  YA  KWANZA

MISUKULE  WA  NGUVU  ZA  KIUME  AMBAO  WAO  WENYEWE  WAMEZITOA  KAFARA  NGUVU  ZAO  ZA  KIUME.
Aina  hii  ya  misukule  haijulikani  na  wengi  lakini  kiuhalisia  wapo  wanaume  wengi  sana  ambao  wao  wenyewe  kwa  ridhaa  yao  wenyewe  wameamua  kutoa  kafara  nguvu  zao  za  kiume  kwa  lengo  la  kupata  mali  na  utajiri.

Hapa  mwanaume  anaenda  kwa  mganga  kwa  ajili  ya  kupata  mali  na  utajiri, anapewa  sharti  la  kutoa   nguvu  zake  za  kiume  ili  awe  tajiri.

Mwanaume  huyo  atatakiwa  kutoa  mbegu  zake  za  kiume  ambazo  zitatengenezwa  kichawi  na  kutumika  kama  kafara  ya  mali  na  utajiri.

Kafara  hii  huwa  ni  kafara  nzito  sana !

Kwa  maana  nyingine,mwanaume  aliye  ingia  katika   mkataba  huu  wa  kichawi, anakuwa  ameingia  mkataba  wa  kutoa  watoto  wake  ambao  bado  hawajazaliwa.

Mara  nyingi  mkataba  huu  huwa  ni  kuwadumu  yaani  mwanaume  huyo  atakuwa  hivyo  hivyo  katika  siku  zote  za  maisha  yake  na  huwa  na  masharti mazito  na  inapo tokea  mwanaume  huyo  akakiuka  mojawapo kati  ya  masharti  atakayo  pewa, adhabu  yake  huwa  nzito.

Wanaume  walio  katika  kundi  hili  wao  hawana  shida  kabisa  na  suala la  wao  kutokuwa  na  nguvu  za  kiume  kwa  sababu  tayari  wanajua  nini  chanzo  cha  tatizo  lao.

Maelezo  kuhusu  wanaume  walio  katika  kundi  hili  ni  marefu  sana kiasi siwezi  kuyaelezea  yote  hapa, ila  nina  ahidi  nitakapo  pata  muda  siku  za  mbeleni  nitaelezea  kwa  kina.

MISUKULE   WA  NGUVU  ZA  KIUME  AMBAO  NGUVU  ZAO  ZIMECHUKULIWA  KICHAWI BILA  RIDHAA  YAO   WALA  BILA  KUJUA.

Idadi  kubwa  ya  misukule  wa  nguvu  za  kiume  ipo  kwenye  kundi hili. Hawa  ni  wanaume  ambao  nguvu  zao  za  kiume  zimeibwa  ama kuchukuliwa  na  kufichwa  kichawi  kwa  ajili  ya  kutumikishwa  kichawi.

Ni  wanaume  ambao  nguvu  zao  za  kiume  zimechukuliwa  bila  ridhaa  yao .

Ni  wanaume  ambao  nguvu  zao  za  kiume  zimechukuliwa  bila  wao  kujua  kama  nguvu  zao  zimechukuliwa .

Wachawi  wana  amini  kuwa, njia  bora  na  ya  uhakika  ya  kuiba  kichawi ama  kuchukua  kitu  cha  mtu kichawi   bila  ridhaa  yake  ni  kukichukua  kitu  hicho  bila  mhusika  kujua  kama  kitu  chake  kimechukuliwa.

Huamini  pia   ili  jambo  hili  liweze  kufanikiwa  ni  lazima  umbadilishie  mhusika  na  kitu  kingine  kinacho  fanana  na  kitu  ulicho  kichukua  kutoka  kwake  ili  mhusika  asijue  kama  kitu  chake  kimechukuliwa.

Wakati  wanaume  walio  katika  kundi  la  kwanza  nguvu  zao  za  kiume  wamezitoa  kwa  ridhaa  yao  wenyewe   kwa  ajili  ya  kupata  mali, fedha  na  utajiri  wa  kichawi, wanaume  walio  katika  kundi  hili  la  pili, nguvu  zao  zimechukuliwa  bila  ridhaa  yao  wala  bila  wao  kujua  na  kama  hiyo  haitoshi  watu  wengine  wananufaika  nazo  bila  wahusika  kujua chochote kinacho  endelea.

Wanaume  hawa  ndio  wanaume  walio  katika  kundi  baya zaidi  kwa  sababu  wao  wanakuwa  hawajui  chochote  kinacho  endelea  kuhusu  nguvu  zao.

Na  kwa  kuwa  wanakuwa hawajui  chanzo  cha  tatizo  lao, basi  hubaki  kuhangaika  na  kuteseka  katika  maisha  yao  yote.

Mara  nyingi  wanakuwa  wana  amini  maradhi  yao  ya  nguvu  za  kiume  yamesababishwa  na  mambo mbalimbali  kama  vile  maradhi  ya  kisukari, presha, ngiri, chango  la  uzazi  nakadhalika, lakini  kiukweli, maradhi  yao  yanakuwa  yamesababishwa  na   kurogwa.  Nguvu  zao  zinakuwa  zimechukuliwa  kwa  ajili  ya  kutumikishwa  kichawi.

  NI KATIKA  MAZINGIRA  YAPI  NGUVU  ZA  KIUME  ZA  MTU  ZINAWEZA  KUCHUKULIWA  KICHAWI.
 Nguvu  za  kiume  huwa  zinachukuliwa kichawi   kupitia  mbegu  za  kiume  za  mwanaume  aliye  kusudiwa.

Mbegu  hizo  zaweza  kuwa  zimetoka  kwa  kulazimishwa  au  zaweza  kuwa  zimetoka  kwa  ridhaa  ya  mwanaume  husika.

Vile  vile  mbegu hizo  zaweza  kuwa  zimetoka  bila  mwanaume  husika  kujua  au  bila  kuwa  na  uweze  wa  kucontrol zisitoke .

Matumizi  na  mahitaji  ya  mbegu  za  kiume  yatategemea  na  namna  ambavyo  mbegu  hizo  zimepatikana. Kila  namna  ina  matumizi  yake  ingawa  zote  hutumika  katika  matumizi  mbalimbali  ya  kichawi.

MBEGU  ZA  KIUME  AMBAZO  ZIMETOKA  KWA  KULAZIMISHWA

Hizi   ni mbegu  zinazo  toka  baada  ya  mwanaume kufanya  punyeto. Wachawi  wanazihitaji  sana  mbegu  za  namna  hii  kwa  ajili  ya  kufanya  mambo yao  ya  kichawi  na  moja  kati  ya  matumizi  ya  mbegu  hizi  ni  katika  ulozi  wa  mapenzi.  Kumvuta  mwanaume  kimapenzi  kwa  nguvu. Kijana  unae  jishughulisha  na  biashara  hii  nakushauri  uache  mara  moja.

MBEGU    ZA  KIUME  AMBAZO  ZIMETOKA  KWA  RIDHAA  YA KE

Hizi ni mbegu zinazo  toka  baada  ya  mwanaume  kufanya  mapenzi na  mwanamke.

MBEGU  ZINAZO  TOKA  BILA  MWANAUME  KUJUA AU BILA  KUWA  NA  UWEZO  WA  KUZI CONTROL

Hizi  ni mbegu zinazo  toka pindi mwanaume  anapokuwa  anafanya  mapenzi  na  jinni  mahaba  usingizini.  Wachawi  wanazihitaji  sana  mbegu hizi  kwa  ajili ya  matumizi  yao  ya  kichawi.  Unashauriwa  kutosema  kwa  mwanamke  ambae  umelala  nae kama umeota  usiku  unafanya  mapenzi  na  mwanamke  halafu ukamwaga  au umeamka  asubuhi  umekuta  mbegu zimetoka zenyewe.

NGUVU  ZA  ZINAWEZA  KUCHUKULIWA  VIPI  KICHAWI?

Najua  utakuwa  unajiuliza  na  kushangaa, nguvu  za  kiume  za mtu  zinaweza  kuchukuliwa  vipi  au katika  mazingira  yepi.

Nguvu  za  kiume  zinaweza  kuchukuliwa  katika  namna , njia  na  mazingira  tofauti tofauti.  Yafuatayo  ni  mazingira   ambayo nguvu  za  kiume  zinaweza  kuchukuliwa  kichawi.

NGUVU  ZAKO ZA  KIUME  ZINAWEZA  KUCHUKULIWA  KUPITIA  MCHEPUKO  WAKO

Hii  hutokea  mara  nyingi  sana  na  nnaweza  kusema  idadi  kubwa  ya  wanaume  ambao  nguvu  zao  zimechukuliwa  kichawi    ni  kupitia  michepuko  yao.

Kinacho  tokea  hapa  sio  kwamba  mchepuko  wako  ndio  ana  zifunga  nguvu  zako, la  hasha  isipokuwa  mchepuko  anakuwa  ameenda  kwa  wachawi  kuomba  ndumba  za  kukufunga   kimapenzi na  kukutuliza  au / na  ndumba  za  kukufanya  ukienda  kutembea  na  mwanamke  mwingine  usisimame. Yeye  lengo  lake  linakuwa  ni zuri  lakini katika  mchakato  wa  lengo  lake  hilo  linaweza  kutokea suala  la  kufunga  nguvu  zako.

Mganga  atamwambia  huyo  mchepuko  wako, NENDA  KALETE  MBEGU  AMA  SHAHAWA  ZA  HUYO MWANAUME  ULIYE  KUJA  KUMREKEBISHA.

Mbegu  zako  za  kiume  atazichukua  katika  mazingira  yafuatayo :

Mosi :  Kama  huwa  mnafanya  tendo  la  ndoa  bila  kinga, ukisha  kojoa  atajifuta  na  kitambaa  maalumu  atakacho  pewa  kisha  atakipeleka  kwa  mtaalamu.

Pili :   kama  huwa  mnatumia  kinga, ataomba  akufute  na  kitambaa  kwenye  uume  wako  mara  baada  ya  kumaliza  kufanya  tendo.

Au  kama  ataona  utamstukia  anaweza  hata  asihangaike  kukufuta  nazo  ila  atakacho kifanya  ataenda  kumwaga  chooni  au  kwenye  dustbin , dawa  maalumu  ya  kichawi  ambayo  atakuwa  amepewa  na  mganga.

Kumwaga  dawa  kwenye  dustbin au  chooni  kutategemea  na  wewe  kondomu  yako  umeitupa  wapi  baada  ya  tendo.

Kama  uliitupa  kwenye  dustbin  basi, hiyo dawa  ataimwaga  kwenye  dustbin. Atakutegea  umeenda  bafuni au chooni, basi  atamwaga  dawa  hiyo  kwenye  dustibin

Na  kama  kondom yako  iliyo tumika  utaenda  kuitupa  chooni basi  dawa  hiyo  ya  kichawi  itaenda  kutupwa  chooni pia.

Dawa  hiyo ni dawa  ya  kijini  ambayo  kazi  yake  ni  kuchukua mbegu  zilizotupwa  jalalani  au  chooni  na   kuzipeleka  kwa  wachawi  kwa  ajili  ya  matumizi  mbalimbali  ya  kichawi.

Dawa  hii  inayo tupwa  chooni  au  kwenye  dustbin huwa  inatupwa  kwa  lengo  la  kwanza kwenda  kuzikomboa  shahawa  ambazo  zimetupwa  kwenye  dustbin au  chooni  kutoka  kwa  majini  wa  jalalani  na  chooni kisha  kuzipeleka  mahali  zilipo kusudiwa.

Hii ni kwa  sababu, chooni  na  kwenye  dustbin pia  kuna  majini  wachafu . Ukitupa  mbegu  zako  chooni  au  kwenye  dustbin maana  yake  ni kwamba  unakuwa  umefungamanisha  nyota  yako  na  majini  wachafu  wa  chooni  au  jalalani.

Ni nuksi kubwa  sana  kutupa  kondomu  iliyo tumika  chooni  au  jalalani  au kwenye  dustbin,  kwani  majini  wa  maeneo  hayo  watakuingia  kupitia  mbegu  zako  na watajifungamanisha  na  nyota  yako  na  nafsi  yako.

Dalili  utaanza  kuziona  kupitia  kwenye  udhaifu  wa  nguvu  zako  zap  kiume  ambao utaendana  na  kufifia  kwa  nyota  yako  kwa  kasi ya  ajabu.

Mambo  yako  yote  yatakuwa  machafu  kama  choo  au  jalala. Kuanzia  kazi, biashara,mahusiano, afya  yako ikiwemo  nguvu  zako  za  kiume.

Mchepuko  wako  akisha  zipeleka  mbegu zako  kwa  mganga, mganga  ataziweka  kwenye  chungu au kibuyu  maalumu , zitapikwa  pamoja  na  dawa  maalumu  za kichawi  kwa  ajili  ya  kuzipima au kupima  nyota  yako kupitia  mbegu  zako.

Mganga  akigundua  nyota  ya  mwanaume  husika  ipo  juu  basi  atazichukua  mbegu hizo  haraka  sana  na  kuzitengeneza  kichawi   kwa  ajili  ya  ima  kuwauzia  wachawi ama  wafanya  biashara   wanaonunua  misukule  ya  nguvu  za  kiume kwa  ajili shughuli  zao  mbalimbali  ima  kukutengeneza  ndondocha.

Kwenye  kumtengeneza  ndondocha  mwanaume  kwa  kutumia  mbegu  zake  za  kiume   huwa  inakuwa  hivi, huyo  mwanamke  akisha  zichukua  mbegu  hizo  na  kuzipeleka  kwa  mganga, inafanywa  kafara  maalumu  ya  mnyama, halafu hizo  mbegu  zinapikwa  na  dawa  maalumu  za  kichawi  halafu huyo mwanamke  anachanjiwa  kwenye  pande  kuu  saba  za  mwili  wake.

Ni  uchawi  mzito  sana  huu. Matokeo  yake  ni kumfanya  mwanaume  huyo kuwa  ndondocha  na  zezeta  kwa  mwanamke  huyo. Pesa  zote  anazo  zipata  mwanaume  huyo  anakuwa  anazipeleka  kwa  mwanamke  aliye tengeneza  uchawi  huo.

Mbegu  za  kiume  za  mwanaume  zinaweza  kuchanganywa  na  dawa  maalumu  za  kichawi, akalishwa  kinyonga  na  kuunguzwa  mzima mzima, halafu  mwanaume  huyo  akailishwa  dawa  hiyo  huku  lengo   likiwa  ni kumtenganisha  na  familia  yake  na  kuwa  anawageuka  na  kuwabadilikia  kama  kinyonga.

Njia  nyingine  mbegu  zako za  kiume  zinaweza  kuchukuliwa  kwa  njia  ya  jini mahaba. Unaota  usiku unafanya  mapenzi  na  jini  mahaba  hadi  unafika  kileleni, kumbe  lengo lilikuwa  ni  kuchukua  mbegu zako  za  kiume.

Njia  nyingine  mbegu  zako  za  kiume  zinaweza  kuchukuliwa  kwa  njia  ya  kufanya  mapenzi  na  mwanamke  mchawi  ambae  anataka  kuiba  nyota  yako  au  kuchukua  msukule  nguvu  zako.

Mwanamke  huyu  ataingia  nyumbani kwako  usiku wa manane  kichawi  na  kufanya  nawe  mapenzi  kwa  lengo  la  kuchukua  mbegu zako.

Wakati mwingine  inaweza  kutokea  umeota  usiku  unafanya  mapenzi  na  mwanamke  unaye  mfahamu  au  usie  mfahamu hadi  kufika  kileleni. Ukiota  ndoto  hii jua  unachezewa  mchezo  huu  mchafu.

Wakati mwingine  mbegu  zako  zinaweza  kuchukuliwa  kwa  njia  ya  kufanya  mapenzi  kichawi  na  tunge  la  kike.

Tunge  la  kike  litakuja  kichawi  hadi  nyumbani  kwako  na  kufanya  mapenzi  na  wewe. Litapata  ujauzito  wako  halafu  mtoto  atazaliwa.  Huyu mtoto  atakae  zaliwa  ndo atakae  enda  kutumika  kama  ndondocha  kwenye   biashara  mbalimbali  kama  vile  maduka  nakadhailka.

Njia  hii  ndio  inayo  tumiwa  sana  na  wachawi  na  wanaume  wengi  wameumizwa  kupitia  njia  hii.

Njia  nyingine  ni pale  nguvu  za  kiume  zinapo  chukuliwa  wakati  mtoto  akingali  mchanga. Njia  ni  hatari  sana  na   ndio  maana  inashauriwa  mama  mjamzito  kuwa  makini  na  mwangalifu sana  katika  siku kumi na  nne  za mwanzo  baada  ya  kujifungua  mtoto  wa  kiume.

Ni katika  kipindi  hicho cha  siku  kumi na  nne  zap   mwanzo  ambazo  wachawi  huzitumia   kutafuta  kuiba  nyota  ya  mtoto  huyo  wa  kiume  kupitia  nguvu  zake  za  kiume.

Nyota  hii  huwa  inaibwa  kupitia  nguvu  zake  za  kiume  na  huwa  zinachukuliwa  kupitia  kitovu  chake. Ndo maana  unatakiwa  kuwa  makini  sana  na  kitovu  cha  mtoto  wako  wa  kiume  kisiangukie  uume  wake  wakati  kinadondoka.

Katika  kupambana  na mtihani  huu  baadhi  ya  wazazi  huwa  wanavikata  wenyewe  vitovu  vya  watoto  wao  wa  kiume  na  huwa  wanatumia  mafuta  ya  nazi, nyoya  la  kuku  na  dawa  maalumu  za  jadi.

Narudia  kwa  mara  nyingine  tena  unapaswa  kuwa  makini  sana katika  kipindi  hiki.

Wachawi  kupitia  taaluma  yao  ya  kichawi  wanaweza  kubaini  nyota  ya  mtoto  na  kujua  atakuja  kuwa  nani .

Ii kuzuia mtoto  huyo  asije  kuwa vile alivyo pangiwa  na  Mwenyezi  Mungu, wachawi  hulazimika  kuiba  nyota  ya mtoto  husika  na  kuiuza  kwa  watu  wengine na  moja  kati ya  njia  kuu  wanazo  weza  kutumia  katika  kufanikisha  nia  yake  ovu  ni kuiba  nguvu  za  kiume  za  mtoto  huyo  kwa  njia  za  kichawi.

Pia  wanaume  wengine  nguvu  zao  zimechukuliwa  tangu wakiwa  tumboni  mwa  mama  zao. Wachawi  wanaamini  ya kwamba, ukitaka  kukuiua  kitu  basi  kiue  kabla hakijazaliwa. Hapo ndipo  linapo kuja  suala  la  kuiba  nguvu za watoto  wa  kiume  tangu  wakiwa  tumboni  mwa  mama  zao.

Ukitaka  kujua  kama  mtoto  wako  nguvu zake  zimeibwa  tangu  akiwa  tumboni ishara  ya  kwanza  ni  pindi  kitovu cha  mtoto  huyo  kinapo mdondokea  kwenye  uume  wake.

Vilevile Mbegu  zako  za  kiume  zinaweza  kuchukuliwa  kupitia  kujichua.. Mbegu  za  mwanaume  zinazo  toka wakati wa  kujichua  hujulikana  katika  ulimwengu  wa  waganga  kama  MBEGU ZILIZO  TOKA  KWA  KULAZIMISHWA.

Haijalishi  unapo fanya  punyeto  unafuta  kwenye  karatasi, gazeti, kitambaa  au  unaacha zidondoke  kwenye  sakafu  ya  bafuni na  kumwagia  maji  lakini  jua, wachawi  kwa  kushirikiana  na  majini  huwa  wanachukua  mbegu  za  kiume  zinazo  toka  baada  ya  kujichua..

Kama  huwa  unajichua  usiku chumbani  kwako kitandani, asubuhi  baada  ya  kuamka  au  bafuni  ama  chooni , basi  jua  wachawi  huchukua  mbegu  zako  na  kuzitumia  kwenye  mambo yao  ya  kichawi.

 MAMBO  AU TABIA  ZINAZO  WEZA  KUFANYA  MBEGU  ZAKO  ZA  KIUME  ZICHUKULIWE  NA  WACHAWI.

Yafuatayo  ni  mambo  yanayo weza  kusababisha  mbegu zako  za  kiume  zichukuliwe.

i.  Kufanya  mapenzi  na  wanawake  wanao  uza  miili  yao  “ HUKO  HUWA  ZINACHUKULIWA  SANA  “

ii. Kuwa  na  michepuko. Mwanaume  fahamu  unapokuwa  na  michepuko  unakuwa  unakaribisha  nafasi  ya  wewe  kufanyiwa  ulozi  wa  kimapenzi.  Hii ni kwa  sababu  michepuko wengi  huwa  wanatumia  uchawi kuwatuliza  wanaume  wanao tembea  nao. Sasa  ikitokea  bahati  mbaya  mchepuko  wako  katika  kutafuta  ndumba  za  kukutuliza, akakutana  na wachawi  wanao  tumia  mbegu  za  kiume  katika  shughuli  zao  basi  ndugu  yangu jua  umekwisha.

iii.Kutupa  kondom  kwenye  dustbin au chooni  mara  baada  ya  kufanya  tendo  la  ndoa.

iv.Kufanya  punyeto    “  WANAO FANYA  SHUGHULI  HII  NAWAHURUMIA  SANA  KWANI  NI MOJA  KATI  YA  WAHANGA  WAKUU  WA  UCHAWI  HUU HUKU WAO  WAKIAMINI  KUWA SHIDA  YAO  IMESABABISHWA NA  PUNYETO.

v.Wanaume  walio lelewa  na  mama  za  kambo  ambao  ni  washirikina. Wanaume  wengi  ambao  nimewatibu  tatizo  hili  wametoka  katika  familia  walizo lelewa  na  mama  wa  kambo.

Hii  mara  nyingi  hutokea  pindi  mama  wa  kambo  anapokuwa  haja bahatika  kupata watoto  wa  kiume,au hajabahatika  kupata  watoto halafu baba  ana  mali nyingi.

Akisukumwa  na  hofu  ya  kukosa  mali  ya  mumewe  mwanamke  huyu anaweza  kushawishika  kwenda  kwa  waganga  kuwadhibiti  watoto wake  wa  kambo  wa  kiume. Mganga  ataomba  nguo  za ndani za  watoto  hawa  au  mkojo  au nguo iliyo  kojolewa  au  atampa dawa  ya  kuwalisha  kwenye  chakula  au  kuwatega.

Kama  watoto  ni  wakubwa  mama  huyu  anaweza  kushirikiana  na  binti ambapo binti  atajilengesha  kwa  kijana  aliye  kusudiwa  wataanzisha  uhusiano  wa  kimapenzi  na  kisha  kutumia  fursa  hiyo  kupata  mbegu  za  kiume  za mwanaume  husika. HATA  HIVYO  HII HAIMAANISHI KUWA  AKINA  MAMA  WA  KAMBO WOTE NI  WABAYA. JAMBO HILI HUTOKEA  KWA  BAADHI  YA  AKINA  MAMA  WA  KAMBO NA SIO WOTE. WAPO AKINA  MAMA  WA  KAMBO  AMBAO NI WAZURI  KULIKO  HATA  MAMA  WAZAZI.

vi. Kugombana  ama  kuachana  na  mchumba  au  mke . Mke  anaweza  kwenda  kukutengeneza  ili  kukukomoa.

vii. Kuoa mwanamke  mshirikina. Katika  kutafuta  ndumba  zap  kukutuliza  anaweza  kukutana  na  suala  la  kutakiwa  apeleke  mbegu  zako.

viii. Wakati  mwingine  unaweza  kufanyiwa  hivi  kwa  sababu  una  maisha  mazuri. Mtu anakufanyia  uchawi  huu  kwa  lengo  la  kuchukua  nyota  yako  na  kwenda  kuitumikisha  kama  msukule  wa  biashara  mali  na  utajiri.

ix. Kukataa  mtoto

x. Kufuta  uchumba  na  kuoa  mwanamke  mwingine

xi. Kutembea  na  mke  wa mtu

xii. Kugombea  mpenzi  au  mchumba.

Mtu  anaweza  kukuroga  nguvu  zap  kiume  ili  kukukomoa, kwa  mfano

 Porini  kuna  mti  unatoa  vitunda  vidogo  vyenye  rangi  mbili  nyeusi  na  nyekundu.

Mti  huu  huwa  ni  dawa  ya  maradhi  ya  mgolo  ama  bawaziri

Una  majani  matamu  kama  sukari  ambayo  wakati  wa  njaa  huweza  kutumika  kutengenezea  chai  na  pia  huweza  kutumika  kutengeneza  chai  kwa  watu  wenye  kusumbuliwa  na  maradhi  ya  kisukari.

Vipande  saba  vya  mti  huu vinachukuliwa  halafu  wanachukuliwa   wanyama  wa  aina  tatu  tofauti   wafugwao  wanachinjwa kisha  damu  yao  inachanganywa  pamoja  na dawa  zitokanazo  na  miti  ya  porini  aina  saba  halafu  vinaenda  kupikwa  porini  kisha  zinafungwa  kwenye  chombo  maalumu  na  kuzikwa  kwenye  makaburi  saba  tofauti  kwa  muda  wa  siku  saba  saba   na  njia  panda  saba  tofauti  tofauti  kwa  muda  wa  siku  saba  kisha  zinazikwa  kwenye  milima  miwili  tofauti  kwa  muda  wa  siku  saba.

Baada  ya  hapo, linachukuliwa  bawa  la  ndege  mmoja  wa  porini. Huyu ndege  anatumiwa  sana  na  wachawi  “  NDEGE  HUYU  SIO  BUNDI  WALA  SULULI  WALA  MKATA  SANDA’.

Ndege  huyu  ana  sifa  moja  kubwa  katika  ulimwengu  wa  wachawi.  Nayo  ni  kwamba, ukichukua  nyoya  lake  ukaliweka  kwenye  mto wa  kwenye  kitanda  alicholalia  mgonjwa, basi  mgonjwa  huyo hatopona  bali  atakufa  na  kama  utaliweka  chini  ya  mto  alio lalia  mtoto  mchanga  basi  mtoto  huyo atadumaa, hatokua.

Bawa  la  ndege   huyu  ndio  linatumika  kama  kalamu  ya  kuandikia  majina  ya  mkusudiwa  pamoja  na  manuizo.

Majina  na  manuizo  yakiisha  kuandikwa,  miti  hiyo  saba  inaenda  kutupwa  barabarani  kwenye  barabara  saba  tofauti.

Miti  hiyo  ikigongwa  na  gari  tu  basi  na  mwanaume  aliye  kusudiwa  anaanza  kuugua  maradhi  ya  nguvu  za  kiume.

Maradhi  huanza  taratibu  na  baadae  huhitimu  na  kuwa  sugu  ambapo  mhusika  anaweza  kufikia  hatua  ya  kuwa  hanithi  kabisa.

KWANINI  WACHAWI  HUZICHUKUA  MSUKULE  NGUVU  ZA  KIUME

Kama  nilivyo  sema  hapo awali  wachawi  huchukua  kichawi  nguvu  za  kiume  kwa  ajili  ya  kwenda  kuzitumikisha  kama  misukule  kwenye  biashara, mali  na  utajiri.

KUNA  UHUSIANO  GANI  KATI  YA  NGUVU  ZA  KIUME  NA  DAWA  ZA  UTAJIRI  MALI  NA  BIASHARA ?

 Najua  lazima  utakuwa  umejiuliza  swai  hili, yafuatayo   ni majibu  ya  swali  hili.

Nguvu  za  kiume  zina  uhusiano  mkubwa  sana  na  damu. Nguvu za  kiume  ni damu  na  damu  ndio  nguvu  za  kiume.

Damu  ndio  uhai  wa  mwanadamu. Damu ndio roho ya  mwanadamu  na  roho  ya  mwanadamu  ndio damu. Damu  huishi ndani  ya  roho  ya  mwanadamu  na  roho  ya  mwanadamu  huishi  ndani  ya  damu  ya  mwanadamu.

Roho  ya  mwanadamu  hubeba  akili  na nafsi. Na  nafsi ya  mwanadamu  hubeba  nyota  ya  mwanadamu.  Nafsi  ya  mwanadamu  hubeba  akili  ya  mwanadamu . Hisia  za  mwanadamu,  Silka za mwanadamu, Hulka  za mwanadamu  na  utashi  wa  mwanadamu.

Uanaume  au unamke  ni  nafsi  anayo zaliwa  nayo mwanadamu. Nguvu  za  kiume  ndio  nafsi ya kwanza  ya  mwanaume. Hiyo ndio  inayo mfanya  awe  mwanaume  au  ajione  mwanaume.

Unapo chukua  nyota ya  mwanaume  ambayo  ndio  nafsi ya  mwanaume  ambayo  ndani  yake  ipo akili ya  mwanaume ambayo  ndio  nguvu  za  kiume  za  mwanaume  unakuwa  umechukua  nafsi  ya  mwanaume  huyo ambayo ndio  nyota  yake.

Nguvu  za  kiume  ndio  chanzo  cha  uhai  wa  mwanadamu.

Nguvu  zap  kiume  za mwanaume  zinasimama  badala  ya  nafsi ya  mwanaume.

Unaposema  fulani  ni damu  yangu  maana  yake  ni kwamba  fulani  ni roho  yako  ambae  amekuja  duniani  kupitia  nguvu  za  kiume.

Katika  ulimwengu  wa  waganga  na  wachawi, nguvu  za  kiume  ni  kielelezo cha  uhai  wa  mwanaume  husika.

Nguvu  za  kiume  ni  kielelezo cha  ukamilifu  wa  mwanaume.

Hivyo  wachawi  wanapo chukua  nguvu  za  kiume  za mtu kwa  lengo  la  kuzitumikisha  kichawi,hufanya hivyo  wakiwa  wanajua  wanacho kifanya.

UFANYE  NINI  KUEPUKA  NGUVU  ZAKO KUCHUKULIWA  MSUKULE

Kitu kikubwa cha kufanya  ni kuhakikisha  unakuwa  na  kinga  kubwa ambayo itawafanya  wachawi  wasiwe  na  uwezo  wa  kuchukua  nguvu  zako msukule.

Vile  vile  unatakiwa  kujiepusha  na  tabia  hatarishi  ambazo  nimezieleza  hapo juu. Tabia  hizo ni  tabia  zitakazo  kuweka  katika  hatari  kubwa  ya  nguvu  zako  kuchukuliwa  kichawi.

UTAJUAJE  KUWA NGUVU  ZAKO  ZA  KIUME  ZIMECHUKULIWA  KICHAWI

Endapo utaonyesha  dalili  zifuatazo  basi  jua  tatizo lako la  nguvu  za  kiume  limechukuliwa  kichawi  au  zipo kwenye  mpango  wa  kuchukuliwa.

1.Ukiwa  na  mwanamke  mmoja  unakuwa  na  nguvu  lakini  ukienda  kwa  wanawake  wengine  unakuwa  hauna  nguvu.

2.Umetumia  tiba  mbalimbali  zap  nguvu  za  kiume  lakini  huponi  wala  kupata  nafuu  yoyote.

3.Mpenzi, mchumba  au mke  wako  anakudharau  kwa  sababu  ya  kutokuwa  na  nguvu  za  kiume.

4.Mpenzi  wako  anakukimbia  kwa  sababu  hauna  nguvu  za  kiume

5.Mpenzi   au mke  wako  anatoka  nje  ya  ndoa  au  mahusiano  na  mwanaume  ambae  unamzidi  fedha  na  maisha  kwa  ujumla.

6.Umekuwa  addicted  na  tabia  ya  kujichua  na  unashindwa  kuacha.

7.Kuachana  na  kila  mwanamke  unayekuwa  nae  katika  mahusiano

8.Kutodumu katika  mahusiano

9.Kuwa  na matatizo  ya  uzazi

10. Kufanikiwa  chini  ya  kiwango : Kwa  sababu  suala  hili huwa  linaenda  na  kuchukuliwa  nyota  basi  hata  mafanikio  unayo  yapata  huwa  yanakuwa  chini  ya  kiwango.

11.Kutojiamini  wakati  wa  tendo  la  ndoa. Unashindwa  kujiamini  kwa  sababu  unakuwa  na  wasiwasi  na  uanaume wako.

12. Kuishiwa  nguvu  zap  kiume

13.Maumbile  kunyauka  na  kusinyaa  na  kuwa  kama  ya  mtoto

14. Maumivi wakati  wa  tendo  la  ndoa

15. Kutokuwa  na  uwezo  wa  kurudia  tendo  la  ndoa

16.Maumivu  ya  mgongo

17.Kukosa  hamu  ya  kufanya  tendo  la  ndoa.

18.Unaota  unafanya  mapenzi  na mtu usie mjua NAKADHALIKA.

TIBA  KWA MTU MWENYE  MARADHI  YA  NGUVU  ZA  KIUME  YANAYO  TOKANA  NA  KUROGWA.

Kuwa  na  maradhi  ya  nguvu  za  kiume  yanayo  tokana  na  kurogwa  maana  yake  ni  kwamba ile  sehemu  ya  kwenye  nafsi  na  akili  ya  mwanaume  ambayo  inahusika  na  utashi, hisia  na   maamuzi  sahihi, inakuwa  imechukuliwa  kichawi  kwa  lengo  la  kutumikishwa  kichawi  na  badala  yake  linawekwa  jinni  maalumu  la  kichawi  ambalo  sasa  ndio  linasimama  kama  mbadala  wa nafsi  yako.

Jinni  hili  ndio  litakalo  kuwa  lina  control utashi , hisia  na  maamuzi  yako.

Jinni  huyu mchafu  anakuwa  ameamrishwa  na  kuapishwa kwa  damu   kufanya  makazi  yake  katika nafasi yako. Anakuwa  anautumia  mwili  wako  kama  sehemu  yake  ya  makazi.  Maamuzi  utakayo  kuwa  unaya fanya  kwa  kiasi  kikubwa  yatakuwa  na utashi  na  mapendeleo  ya    jinni  huyu.

Jinni  huyu huwa  na  sifa  zifuatazo : Kwanza  hakujui  vizuri, hajui unapenda  nini, hajui  hupendi  nini, hajui utashi  wako  ni  nini  wala  hajui  hisia  zako zipo wapi  , yeye  anacho  jua  ni kufuata  maelekezo  aliyopewa  ambayo  ni  kukaa ndani  ya  nafsi  yako  na ku ku -control.

Kwa  kuwa  jinni  huyu  hajui  wewe  unapenda  kitu gani  wala  hajui  kuhusu  utashi  wako  wala  hisia  zako  zipo  wapi, hata  unapokuwa  katika  mazingira  ambayo  kikawaida  ulitakiwa  kusisimkwa  kimahaba unajikuta  unashindwa  kusisimka.  Hii  ni kwa  sababu  unakuwa  sio  wewe  bali yeye.

Mfano  mzuri  unakuta  mwanaume   katika  siku  zap  nyuma akiwa  faragha  na  mke  wake  halafu mke  wake  akawa  katika  hali  ya  ufaragha, basi  mwanaume  “ atakasirika  “  kweli kweli na  atafanya  tendo  la  ndoa  vizuri kabisa.

Lakini cha  ajabu  ghafla  hali  inaanza  kuwa  tofauti, upo na  mkeo faragha  halafu  jogoo  anashindwa  kuwika. Na  wewe  unadhani  una  stress  au  labda  una  kisukari  au ulifanyaga  sana  punyeto ulipokuwa  shuleni  au  una  lehemu  mbaya nakadhalika.

Sababu  ya  kushindwa  kwako   ni hiyo, kuna roho chafu imekaa  kwenye  nafsi yako, hiyo roho ndio inayo  control  hisia  zako na  utashi  wako.  Haijui  kama  wewe  ni mwanaume  au  mwanamke, haijui  unapenda  nini  haupendi  nini, haijui hisia  zako  zipo wapi ndio  maana  unapokutana  na  mke  wako, unashindwa  kufanya  unacho  takiwa  kufanya.

Wakati mwingine  jinni  huyu mbali  na  kutokukujua  lakini  pia  anaweza  kuwa  hapendi  kabisa  ngono  ya  aina  yoyote  ile  iwe  ni  ngono  halali yani mke  na  mume  au  ngono  haramu  yani  mwanaume  na  mchepuko.

Hivyo unapokuwa  unataka  kufanya  tendo  la  ndoa, jinni  huyu anakuwa  anakuzuia kwa  kukata  mawasiliano  yako kwenye  ubongo  na  kukuondolea  msisimko.

Hii ni kwa  sababu  jinni  huyu  sasa ndio   anaekumiliki kama  chombo chake  na  hawezi  kukuacha  mpaka  siku  unaondoka  duniani  au  labda  itokee  aondolewe  kwa  nguvu.

Tendo  la  ndoa  linakuwa  linampa  kero  kubwa . Anakuwa  hapendi  kukuona  ukiwa  unafanya  tendo  hilo, hivyo akiona  unataka  tu kufanya  anakuzuia  kwa  njia niliyo ieleza  hapo juu, matokeo  unaishia  kupoteza  hamu  ya  tendo  la  ndoa  na  hata  ikitokea  umefanya  unafanya  kwa  muda  mfupi na  kumaliza  na kushindwa  kurudia  kabisa  huku  ukimuacha  mwenzi wako  akiwa  bado  hajapanda  mlima.

Wakati mwingine  jinni  huyu anaweza  kuwa  jinni  mahaba   ambae  anakuwa  amefungishwa  ndoa  nawewe   bila  ridhaa  yako.

Jinni  huyu  atakuwa  anafanya  mapenzi  na  wewe  na  kumaliza  nguvu  zako  zote. Na  kwa kuwa  jinni  huyu  atakuwa  anakupenda  na  kuwa  na  wivu na  wewe ili kukuzia  usiende  nje  basi  atafunga  nguvu  zako  za  kiume.

 TIBA  YA  TATIZO  HILI  NI  KWANZA  KUMUONDOA  HUYU  JINI,  KUONDOA  UCHAFU  AMBAO UMEPANDWA  KWENYE  MWILI  WAKO, KUONDOA  UUME  WA  KICHAWI   AMBAO  UMEPANDWA  KWENYE  MWILI  WAKO  KAMA  MBADALA  WA  UUME  WAKO  ULIO CHUKULIWA  NA KISHA  KUKUSAFISHA  HALAFU  MWISHO  KUKUPIKIA  DAWA  MAALUMU  AMBAYO  ITARUDISHA  NGUVU  ZAKO  NA  KUKUFANYA  UFURAHIE  MAISHA  YAKO YA  NDOA  KAMA  ZAMANI.

MAKALA  HAYA  YAMEANDALIWA  NA  DOKTA  MUNGWA  KABILI. ANAPATIKANA  KWA  SIMU  NAMBA 

0744   -  000   473

KUSOMA  MAKALA  ZAKE  MBALIMBALI  KUHUSU  ULIMWENGU USIO ONEKANA, TEMBELEA  :  www.mungwakabili.blogspot.com
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )