Wednesday, August 30, 2017

Mitihani ya taifa Wizara ya Afya Yaahirishwa

Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ameahirisha mitihani ya kitaifa katika vyuo vya Afya nchini ambayo ilitakiwa kufanyika Septemba 1 2017 kupisha sikukuu Eid Alhaj

Taarifa iliyotolewa na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini sekta ya Afya inasema kuwa mitihani ambayo ilipaswa kufanyika siku ya Septemba 1, 2017 ndiyo itakayoahirishwa na kudai mitihani mingine itaendelea kama kawaida. 


Advertisement
==

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Mpekuzi Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )