Monday, August 14, 2017

Shuhudia LIVE Rais Magufuli Alivyompokea Rais wa Misri na Jinsi Mizinga Ilivyopigwa

Tazama hapa moja kwa moja kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Rais wa Misri, Abdel Fattah El Sisi alivyowasili Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku mbili ambapo mwenyeji wake Rais Dkt, John Pombe Magufuli pamoja na viongozi mbalimbali wamempokea  uwanjani hapo .

==>Tazama hapo chini

Advertisement
==

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Mpekuzi Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )