Wednesday, August 9, 2017

Unene Kupita Kiasi Wafanya Ashindwe Kuaminika

Kama   majaji na  mahakimu  wangekuwa  wanatoa  maamuzi  yao  kwa  kuzingatia  muonekano  au  maumbile  ya  mtu  basi  watu  wengi  sana  wangenyimwa  haki  zao.

Hivyo  ndivyo  unavyo  weza  kusema   mara  baada  ya  kupata  taarifa  hii  inayo  muhusu  mwanadada  Quantasia   Sharpton  (  21 ), ambae  madai  yake  mazito  dhidi  ya  mwanamuziki  mmoja  maarufu  nchini  Marekani, yame bezwa  na  watu  wengi , huku  sababu  ikitajwa  kuwa   unene  na  uzito  kupita  kiasi.
 
JE !  NI  MADAI  GANI  ALIYO  YATOA  DADA  HUYU  AMBAYO  YAMEFANYA  WATU  WASHINDWE  KUYAAMINI  KWA  SABABU  YA  UNENE  KUPITA  KIASI  ALIO NAO  DADA  HUYU  ?, << BOFYA HAPA KUJUA ZAD>>

==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )