Saturday, September 30, 2017

LIVE: Polepole akitangaza maamuzi ya kikao cha NEC ya CCM kilichokaa leo

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) anazungumza na waandishi wa habari muda huu katika Ofisi Ndogo za CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.

Katika mkutano huo na wanahabari, Polepole anaeleza maamuzi yaliyofikiwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) iliyokutana leo katika kikao chake.

Fautilia matangazo hayo moja kwa moja hapa chini;

Advertisement
==

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Mpekuzi Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )