Thursday, September 14, 2017

OFA: Jipatie Riwaya Kali ya Kusisimua ya POWER na U KILL ME Toka kwa Mtunzi Makini

OFA HII SI YA KUKOSA MPENZI MSOMAJI WANGU
Baada ya ukimya wa takribani mwenzi mmoja wa story matata ya SORRY MADAM D.F.E kuto kuwa hewani. Sasa imerudi hewani na inazidi kukonga nyoyo za wasomaji wangu. Kutokana tunawapenda wasomaji wetu tumeamua kutanua wigo wetu wa upatikanaji hadithi zetu mpya. 
 
Story mpya za POWER na AIISSII U KILL ME LEGACY sasa zinapatikana katika GROUP langu la hadithi kupitia Whatsapp namba 0657072588. Katika mwenzi mmoja tutahakikisha kwamba msomaji wetu unasoma episode(vipande vya hadithi) 48 kwa ada ya shilingi 3000 tu. Jiunge sasa mpenzi msomaji kwani hizi story nina uhakika wa asilimia 100 kwamba zitakuburudisha na kukufurahisha. Sheria za group la whatsapp ni rahisi sana.
 
1. Huruhusiwi kupost chochote kwenye group,endapo utakiuka sheria utatolewa.
2. Unaweza kulipia kuanzia mwezi mmoja na kuendelea.
3. Huruhusiwi kutoa hadithi nje ya GROUP ukibainika kufanya hivyo tutakutoa kwenye group na hutorudishwa pia hatuto ishia hapo ila sheria zitafwata mkondo.
4. Huruhusiwi kuchukua namba ya mtu ndani ya group bila idhini ya Admin, endapo mwana chama mwezako akitokea kukulalamikia kwamba umefanya hivyo basi tutakutoa(Hapa ninawalenga wakaka wengi sana kwa wadada wazuri walio jiunga na kupenda kusoma story)
5. Ukilipia tarehe kama ya leo basi itakulazimu tarehe inayo fwata uweze kulipia endapo zitapita siku mbili mara baada ya kukumbushwa siku yako ya kulipia basi tutalazimika kukutoa kwenye Group.
6.Tutazingatia maadili yote ya nchi yetu ya Tanzania na hakuna usumbusu wowote tutakao kubali uweze kumpata mwana chama wetu.
 
Baada ya kuyasema hayo karibuni sana wasomaji wangu kwani story ndio kwanza leo zinaendelea sehemu ya 6 na kama ni mwana chama mpya tutakutumia kuanzia 1 hadi 5 ili ifikapo saa moja usiku uweze kusoma na wezako sehemu ya sita. Kumbuka hadithi hizi nimejitahidi kadri ya uwezo wangu kuhakikisha kwamba zina zipiku story za SORRY MADAM na SHE IS MY WIFE.
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )