Friday, September 8, 2017

Spika Ndugai Awataka Wabunge Watoe Nusu ya Posho zao Kuchangia Matibabu ya Tundu Lissu

Spika wa Bunge, Job Ndugai amewaomba wabunge watoe nusu ya posho zao kwa siku kuchangia gharama za matibabu ya Tundu Lissu.

Ndugai amesema leo  bungeni kuwa gari ya Tundu Lissu ilipigwa jumla ya risasi 28 hadi 32,lakini zilizompata Tundu Lissu ni tano ambapo zilimjeruhi tumboni na mguuni.

Lissu aliondolewa Hospitali ya General Dodoma  Usiku wa kuamkia leo na kupelekwa nchini Kenya  kwa Matibabu zaidi

Advertisement
==

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Mpekuzi Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )