Monday, October 23, 2017

Gazeti La Tanzania Daima Laomba Radhi

Gazeti la Tanzania Daima limeandikia barua ya kuomba radhi kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbas baada ya gazeti hilo kutoa taarifa yenye kichwa cha habari ‘Asilimia 67 ya Watanzania wanatumia Dawa za kufubaza Virusi vya Ukimwi’.

Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )