Monday, October 9, 2017

LIVE TOKA IKULU: Kuapishwa Kwa Mawaziri, Naibu Mawaziri Na Katibu Wa Bunge.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli anawaapisha Mawaziri na Manaibu Mawaziri wapya walioteuliwa kufuatia mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yaliyofanyika Oktoba 7 mwaka huu.

Hafla hiyo ya uapishaji inafanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam na imehudhuriwa na viongozi mbalimbali waandamizi wa Serikali, Bunge na Mahakama.

Fuatilia matangazo hayo  moja kwa moja hapa chini

Advertisement
==

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Mpekuzi Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )