Friday, October 20, 2017

Serikal Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Mgao wa 50/ 50 na Barrick

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia kwa Waziri wa Katiba Na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi imetoa ufafanuzi kuhusu suala la faida na mgao wa asilimia 50/50 na kusema jambo hilo limekuwa halifahamiki vizuri kwa watu wengi.

Profesa Kabudi amesema kuwa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itapata asilimia 16 ambazo zinapatikana bila malipo kwa mujibu wa sheria za madini kama ambavyo zimepitishwa huku Barrick wao wakibaki na asilimi 84.

Msikilize hapo chini akitoa Ufafanuzi
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )