Saturday, November 4, 2017

Dokta. Mungwa Kabili Aelezea Kwanini Watu Wengi Wanakimbilia Kufunga Ndoa Na Majini

DOKTA. MUNGWA  KABILI AELEZEA  KWANINI  WATU WENGI  WANAKIMBILIA  KUFUNGA  NDOA  NA  MAJINI  PAMOJA   MAMBO  YA  KUFUATA  KWA  MTU  ANAE  TAKA  KUFUNGA  NDOA  NA  JINI.

Akifanya  mahojiano  na  kituo kimoja  cha  redio  jijini  Mombasa  nchini  Kenya, Tabibu  wa Jadi  kutoka nchini   Tanzania, ajulikanae  kama  Mungwa  Kabili  almaarufu  kama  mungu  wa  kabili  ameelezea  sababu  kwanini  watu  wengi  siku  hizi  wanakimbilia  kufunga  ndoa  na majini  tofauti  na  ilivyo  kuwa  miaka  ya  nyuma  ambapo  watu  walikuwa  wananunua  majini  kwa  ajili  ya  kushirikiana  nayo  katika  mambo  y mbalimbali.

“ Miaka ya  nyuma , watu  walio  kuwa  wanataka  majini  walikuwa  wanakwenda  kuwanunua  moja  kwa  moja.  Lakini  siku  hizi  hali  ni  tofauti  kidogo.  Watu  wanao  taka  msaada  wa  majini, hutumia  njia ya  kufunga nao  ndoa. Hii  ni  kwa sababu njia  hii  inaonekana  kuwa  rahisi na  yenye  masharti  nafuu  ikilinganishwa  na  njia  ya  kuwanunua. “

Wimbi  kubwa  la  watu  wanao  kimbilia  kufunga  ndoa  na  majini  hufanya  hivyo  kwa  sababu  kuu zifuatazo ;
1.    Kutafuta  ulinzi  binafsi  wa  fedha  mali  na  mwili.. Hapa  mfanya  biashara  mwenye  mafanikio  kwa  kuhofia  mali  zake kupukutika  kwa  kuchezewa  na  wachawi  au  kufanyiwa  hila  na wabaya  wake, huamua  kuoa  jini  ili  amsaidie  kulinda  mali na  fedha  zake.

2.    Wengine  hukimbilia  kufunga  ndoa  na  majini  kwa  sababu  ya  kutaka  fedha , mali na utajiri : Hapa  mtu  anae  tafuta  mali  na  utajiri  huchagua  njia ya  kufunga ndoa  na  jini  anae  weza  kumsaidia  utajiri .  Jini  huyu  humsaidia  muhusika kupata  utajiri kwa  njia  ya  kumvutia  wateja  kwenye biashara , kumkutanisha  na watu wenye  uwezo wa kumsaidia nakadhalika.

3.    Wengine  hufunga  ndoa  na  majini  kwa  sababu  ya  kutafuta  msaada  katika  kazi wanazo  zifanya  mfano,   baadhi  ya  matabibu  wa  jadi  na  watabiri  hufunga  ndoa  na  majini  wanao  toka  katika  koo  za  kiganga  ili wawasaidie   katika  kazi  ya  tiba. Wachimbaji  madini, wafanyabiashara  kadhalika

Kutafuta ulinzi,  mali , fedha  na  utajiri,  au kulinda  mali, fedha  na  utajiri  kwa  njia  ya   kufunga  ndoa  na majini  kunakimbiliwa  na  watu  wengi  kwa  sababu  masharti yake yanaonekana  kuwa  nafuu  kuliko  kutumia  njia  ya  kununua  majini  moja  kwa  moja  kwa  sababu  njia  ya  kununua  majini  moja  kwa  moja   ina  masharti  mengi  mazito  na  gharama  za  kuwatunza  majini  hao  wa  kununua  ni  kubwa  sana.
 
Ndio  maana  watu  wengi  huamua  kufunga  ndoa  na  majini.
 
Hata  hivyo  suala  la binadamu   kufunga  ndoa  na majini  halijaanza jana  wala  juzi  na  halitoweza  kuisha  kesho  wala   kesho  kutwa.
 
Jambo  hili  limeanza  tangu  nyakati  za  Biblia.  Mfano  mzuri  tunaupata  kwa  nabii  Suleyman  ambae  miongoni  mwa  wake  na  masuria  wake  walikuwa  majini  na  walikuwa  na  mchango  mkubwa  sana  katika  hekima  na  utajiri  wake.
 
Akijibu  swali  kuhusu  namna  binadamu   anavyo  weza  kufunga  ndoa  na jinni, Dokta  Mungwa  alisema  “   Zipo  njia  nyingi  sana  zinazo  tumika  katika  ndoa  baina  ya  binadamu  na  jinni.  Moja  wapo kati  ya  njia  zinazo  tumika  ni pamoja  na  hii  ya  kutumia  MAFUTA  YA  MAJINI  au  MAFUTA  YA  BAHARINI …
 
Mtu  anae  taka  kufunga  ndoa  na  jini  hutakiwa  kuoga  kwa  dawa  maalumu  na  kujifukiza  mafusho  maalumu.  Baada  ya  hapo  atatakiwa  kukaa  kwenye  chumba  cha  peke  yake   kwa  muda  wa  siku  saba    huku  akila  mara  mbili  kwa  siku   chakula  cha  kwanza  anatakiwa  kula  saa  moja   usiku na  mlo  unao fuata  atatakiwa  kuula  saa  sita  usiku.

Katika  kipindi  chote  hicho hatakiwi  kuongea  wala  kuwasiliana  na  mtu  yoyote  yule   na  atatakiwa  kuwa  anajipaka  mafuta   ya  majini au  mafuta  ya   baharini  kila  anapo  maliza  kula  chakula.
 
Hayo  mafuta  ya majini  au  mafuta  ya  baharini  anatakiwa  kuwa  anajipaka  mwili  mzima na  akishamaliza  kujipaka  anakaa  kwa  muda  wa  robo  saa    anajikwangua  mwili  mzima  ili kupata  uchafu  wa  mwili wake  ulio changamana  na  mafuta  ya  majini.  Huu  uchafu  anakuwa  ana  uhifadhi  kwenye  chombo  maalumu.
 
Baada  ya  siku saba, siku  itakayo  fuata  atatakiwa  kwenda  baharini  saa sita  kamili  mchana  akiwa  na huo  uchafu   alio  jikwangua  na  ku uhifadhi  kwa  muda  wa  siku  saba , mafuta  ya baharini, pete  mbili  za  baharini, kuku mweupe  pamoja  na  vitu  vingine  vya  kiganga   ambavyo si lazima  kuviweka  wazi  hapa redioni.
 
Akifika  baharini  atatakiwa  kukaa  baharini  kuanzia  saa  sita   kamili   za  mchana  hadi  saa  saba  kamili   za  usiku.  Ikifika  saa  saba  kamili  za  usiku  atatakiwa  kutoka  ndani  ya  bahari  na  kufuata  maelekezo  mengine kuhusiana  na  hizo  pete  mbili  za  baharini, mafuta  ya  baharini  na  vitu  vingine.
 
Akiwa  ndani  au  nje  ya  bahari  anaweza  kukutana  na  vitu   ambavyo  hajawahi  kuviona  katika  maisha  yake ,lakini  hatakiwi  kuogopa  kwa  sababu  hayo ndio  maisha  ambayo  anakuwa ameyachagua.
 
Zipo  njia  nyingi  sana  lakini  kwa  leo  nadhani  njia  hii  inatosha.
 
Unapokuwa  katika  ndoa  na  jinni  hakikisha  unakuwa  msafi  sana  na  unafuata  masharti yote  atakayo kupa  vinginevyo  inavyo  weza  kukuletea  madhara  makubwa  na  mambo  yanaweza  kugeuka  nje  ndani.

Nilijaribu  kutafuta  namba  anayo  tumia  Dokta Mungwa  Kabili  pindi  awapo  nchini  Kenya lakini  sikuweza  kuipata.
 Hata  hivyo  anapokuwa  nchini  Tanzania, Dokta  Mungwa  Kabili  huwa  anapatikana  kwa  simu  namba  0744  000  473.
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )