Monday, December 4, 2017

PICHA:Rais Magufuli Akutana Na Mwakilishi Mkazi Wa Benki Ya Dunia, Aendesha Baraza La Mawaziri Ikulu Jijini Dar Es Salaam Leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Joseph Magufuli akiwa na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya dunia nchini Bi. Bella Bird aliyekutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 4, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Joseph Magufuli aakiendesha kikao cha Baraza la Mawari  Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 4, 2017
PICHA NA IKULU

Advertisement
==

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Mpekuzi Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )