Loading...

Tuesday, January 23, 2018

Breaking : Nabii Tito Atiwa Mbaroni

IGP Simon Sirro akimsikiliza mhubiri binafsi anayejiita Nabii Tito ambaye jeshi la polisi  mkoani Dodoma limemtia mbaroni leo mjini humo.
*****

Tito Machibya maarufu kama Nabii Tito anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Dodoma hivi sasa.

Nabii huyo ambaye amekuwa akionekana mitaani kuhubiri huku akiwa anakunywa pombe hivi sasa maelezo yake yanachukuliwa katika kituo kikuu cha polisi Dodoma
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )