Friday, January 12, 2018

Live Zanzibar: Sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi Zanzibar

Tazama hapa moja kwa moja kutoka Zanzibar, kufuatilia maadhimisho ya sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Serikali ya Zanzibar. 

Mgeni rasmi wa sherehe hizo ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, pia katika sherehe hizo wapo viongozi mbali mbali wa kitaifa wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. John Pombe Magufuli

Advertisement
==

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Mpekuzi Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )