Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Saturday, February 24, 2018

TANGA RAHA- Sehemu ya Kumi na Tatu ( 13 )

AGE………………18+
WRITER…………EDDAZARIA G.MSULWA
ILIPOISHIA

Kabla muhudumu wa mapokez kunijibu Halda akashuka kwenye ngazi za hotel hiyo zinazo elekea ghorofani.Akaniita kwa kutumia ishara.Nikamfwata na tukaanza kupanda ngazi kuelekea gorofani
“Tunakwenda wapi…..?”
“Shemeji njoo nikuonyeshe kitu”
“Kitu gani?’
“Nataka nikakutambulishe kwa mumu mwenzio”
   Sikuwa na wasiwasi sana japo kwa mbali msongamano wa mawazo ukaanza kunitawala ila nikajipa moyo kuwa yupo na mpenzi wake kutokana amekaa lisaa zima akiwa ndani.

ENDELEA
   Tukaingia ndani ya chumba kilichokuwa na namba 115 ila cha kunishangaza sikumkuta mtu wa aina yoyote ikanilazimu nimuulize
“Huyo shemeji yangu yupo wapi?”
“Shem kwani una tatizo gani wewe subiri utamuona”
“Mmmm haya mwaya”
   Nikakaa kwenye sofa lililopo ndani ya chumba hicho na Halda akaingia bafuni baada ya muda akatoka akiwa amevaa chupi na sidiri na kunifanya nistuke
“Shemeji mbona hivyo tana”
“Najiandaa kwa ajili ya shemeji yako akija anikite katika hali nzuri”

“Mmmm lakini si kukaa hivyo mbele yangu tambua kuwa wewe ni shemeji yangu”
“Jamani shemeji kwani tatizo lipo wapi kwani zikikupanda si nitakushusha mimi mwenyewe”
     Nikakaa kimya na kujikuta nikianza kumtathimi kuanzia chini miguuni hadi kichwani kwake jambo lililo pelekea koki yangu kusimama.Halda akajilaza kitandani kifudi fudi huku miguu yake akiichezesha chezesha kwa nyuma na kulifanya kalio lake dogo kiasi kuanza kutetemeka tetemeka.Nikasimama na kuanza kupiga hatua kuelekea katika mlango wa kutokea
“Shem unakwenda wapi?”
“Kwenye gari huyo shemeji yangu akija utakuja kunistua kwenye gari”
  Halda akasimama haraka kitandani na kuja kusimama katika mlango na kuziba njia ili nisiufungue  mlango
“Halda nakuomba nitoke humu ndani”
“Eddy sitaki nafanya kila kitu ili kukuashiria kuwa na mimi nahitaji kitu ulichompa Rahma”

“Lakini shemeji Rahma si ndugu yako?”
“Hata kama cha ndugu kizuri tunakula pamoja”
“Una maaana gani?”
    Halda akanirukia na kunikumbatia huku akiwa ananing’inia katika shindgo yangu huku akinilazimisha nimnyonye denda
“Shem unaiumiza shingo yangu”
   Halda hakunielewa hadi akafanikiwa kuzinyonyz lipsi zanu yapo mwanzoni nimekuwa mbishi ila kila muda unavyo zidi kwenda nikajikuta nikilainika taratibu nikaipitisha mikono yangu kwenye kiuno chake na kukishika vizuri kiasi kwamba muhimili wake wa kuning’inia kwenye shingo yangu ukapatikana kwenye mikono yangu.Nikambeba na kumuweka kitandani huku na mimi nikivua nguo moja aada ya nyingine hadi nikibakiwa na boxer
“Halda tutafanya siku nyingine sijisikii vizuri”
   Nlizungumza huku nikishuka kitandani kwani raho yangu ilinisuta kwa kitu ninacho mafanyi Rahma kwani sio haki kabisa.Halda akanivuta boxer yangu ila kwa nguvu nilizo nazo nikaweza kuitoa mikono yake

“Eddy sikubali uondoke uniache na nye** zangu”
Halda alizungumza kwa hasira hadi akabadilika rangi ya mwili wake na kuwa mwekundu kiasi na kuendelea kuning’ang’ania mkono wangu
“Halda nakuomba niache siwezi kumsaliti Rahma kumbuka nyinyi ni ndugu na Rahma hana kosa lolote nililo mfanyi hadi mimi nichukue uamuzi wa kumsaliti”
   Nilizungumza kwa ukali ila Halda hakunielewa kabisa na kitu alicho zidi unikasirisha ni kuanza kulazimisha kuishika koki yangu.Nikampiga kibao kimoja cha nguvu kilicho muangusha Halda chini na akatulia tuli huku akiwa amejikunja.Nikavaa nguo zangu haraka haraka kabla sijatoka nikaona nimtazame Halda kwani wakati wote nikiwa ninavaa nguo zangu hakujitingisha wala kustuka.Mapigo ya moyo yakaanza kunidunda baada ya kumkuta Halda akivuja damu za puani

“Mungu wangu nimeua”
    Nilijikuta nikianza kuropoka huku nikirudia mara kwa mara kumtazama Halda,Nikapata wazo la kuondoka ndani ya chumba na nikaanza kupiga hatua kuufwata mlango kitendo cha kufika mlangoni na kuufungua nikakutana na muhudumu akiwa amabeba sinia la lenye chakula huku mkononi akiwa na mzinga wa whyne
“Nliagizwa na dada mmoja wa hichi chumba nilete chakula”
“Sawa”
Nikampokea vitu alivyo vibeba na sikuhitaji aweze kuingia ndani kuhofia kumuona Halda
“Ila bado hajanilipa pesa”
“Unamdai kiasi gani?”
“Kwa ujumla vyote ni elfu hamsini na sita”
Ikanilzimu kumpa muhudumu vitu vyake anishikie ili niweze kutoa pesa kwenye wallet.Nikatoa noti sita za shilingi elfu kumi kumi na kumpa muhudumu
“Chenchi utakaa nayo”
Nikavichukua vitu vyangu na kuufunga mlango kwa funguo na kuviweka mezani,nikamtzama Halda kwa muda kisha nikapata wazo la kumyanyu na kumuweka kitandani.Nikamfuta damu za puani kwake kwa kutumia kitambaa cahngu na nikamfunika kwa shuka vizuri ila hata nikiondoka nimuache katika mazingira mzuri

 
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )