Thursday, February 15, 2018

Tausi: Sipendi mwanaume mfupi

Msanii wa Filamu Bongo, Tausi Mdegela amesema huwa hapendi mwanaume mfupi.

Muigizaji huyo amesema hayo katika segment ya Kikaangoni, EATV. Tausi ameeleza kuwa anampenda mwanaume  ambaye ni mrefu.

“Sipendi mwanaume mfupi, mfupi wa nini saa? tukiwa wote wafupi nani atazima taa, nani atafunga mlango?.” amehoji Tausi.

“Napenda mwanaume mrefu mwembamba, sio mnene.” ameongeza.

Katika hatua nyingine amesema kuwa katika mahusiano huwa haangalii umri bali anachotaka muhusika awe na malengo ya mbeleni hata kama ni kijana wa miaka 18.

Advertisement
==

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Mpekuzi Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )