Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Thursday, March 8, 2018

AISIIIII……….U KILL ME ( Sehemu ya 29 na 30)

adv1
MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWA                     
ILIPOISHIA    
  Afande Judithi akazima computer hiyo kisha akanigeukia.
“Unatakiwa sasa ukaoge na kukupa vitendea kazi vyako. Njoo nikuonyeshe bafuni”
Nikaongozana na afande Judithi hadi katika bafu, akanionyesha kisha akatoka, taratibu nikaanza kuvua koti la suti kisha shati. Nikavua viatu pamoja na shati kisha nikasimama mbele ya kioo huku nikijitazama majeraha niliyo yapata usoni mwangu. Nikiwa nimesimama mbele ya kioo nikaona mlango wa bafu ukifunguliwa ikanibidi kugeuka na kumuona Banyanka akiingia bafuni hapa akiwa amevalia chupi na siridia, kwa jinsi umbo lake lilivyo la kirembo nikabaki nimeduwaa.
“Tuoge wote”  
Babyanka alizungumza na kunifanya nibaki nikiwa nimekaa kimya nisijue nini cha kufanya, huku jogoo wangu akianza kuleta fujo za kutaka kusimama taratibu.

ENDELEA
“Muambie alale huyo”
Afande Judithi alizungumza huku akimtazama j wangu, nikajihisi aibu kwa maana huwa siku zote ninaamini kwamba mwanamke akijileta kwa staili hii basi ni wa

adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )