Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Sunday, March 25, 2018

Breaking News: Watu 24 wamefariki na wengine 10 kujeruhiwa baada ya hiace kugongana na lori Mkuranga

Watu 24 wamefariki dunia na wengine 10 kujeruhiwa baada ya Hiace iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kwenda Wilaya ya Mkuranga mkoanini Pwani, kugongana uso kwa uso na lori lililokuwa likitokea Mtwara kuelekea Dar es Salaam.

Ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo Jumapili Machi 25, 2018 eneo la Mparanga wilayani Mkuranga.

Kaimu kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Kibiti, Mohamed Likwata amethibitisha  kutokea kwa ajali hiyo na kwamba majeruhi wote wamepelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam.
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

taboola apo chini
....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )