Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Sunday, March 25, 2018

Brown Kaamua Kuifuta tattoo ya Jacqueline Wolper mwilini mwake

Brown pamoja na muigizaji Jacquline Wolper walikuwa katika uhusiano wa kimapenzi kwa muda mfupi na baadae wawili hao waliachana ila katika mahusiano hayo kabla ya kuvunjika Brown alichora tattoo ya jina la Jacqueline Wolper na kuandika “I Love Wolper” katika kifua chake

Ila kwa sasa ameonekana kuifuta tattoo hiyo yenye jina la Wolper na kuchora kitu kingine hii ni kutokana na tetesi ambazo zimekuwa zikiendelea kwenye mitandao ya kijamii kuwa muigizaji Nisha Bebe ana mahusiano ya kimapenzi na Brown.

Kupitia Instagram account ya Nisha Bebe amepost picha ya kifua cha  Brown na kuonyesha tattoo yake mpya na kuandika caption inayosomeka

"😢 hakuna kitu kinauma kama kufuta tatoo he said nataka kumwakilisha mwanamke anayetoka machozi kila siku kabla hajakutana na soldier na yeye ni tofauti na wengine wote, soldier atafuta machozi hayo 😢i told him acha tu sitaki uumie #BACHELA"
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )