Saturday, March 17, 2018

Kwa Mara Ya Kwanza Tanzania Na Kutoka Vodacom Instagram Ni Bure

Vodacom Tanzania wamekuletea INSTAGRAM BUREEEEEEEE
 
Pata instagram BURE sasa kila unaponunua kifurushi cha Tshs 1,000 au zaidi usambaze na kuangalia picha BURE ukiwa kwenye mtandao supa pekee Tanzania, Piga *149*01# kujiunga
 
Uzinduzi huo umefanywa na Linda Riwa ambaye ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma na Bidhaa kwa Wateja Mlimani City jijini Dar es Salaam. 
 
Katika mpango huu Vodacom Tanzania wanakwambia kuwa unapata Instagram BURE kila unaponunua kifurushi cha Tshs 1,000 au zaidi usambaze nakuangalia picha BURE ukiwa kwenye mtandao supa pekee Tanzania. 
 
 Kifurushi hiki kitakuwezesha kuangalia picha na ukinunua kifurushi chochote cha Pindua Pindua utapata picha, video na IG stories bure kabisa.
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )