Sunday, March 25, 2018

Wema Sepetu Azua Gumzo Baada ya Kujiachia Nusu Uchi

Msanii wa Bongo Movies, Wema Sepetu amezua gumzo baada ya kuachia sehemu kubwa ya mwili wake  live wakati akiogelea pamoja na kaka yake Diamond Platnumz, Rommy Jones.

Picha  na kipande cha video kinachosambaa kwa kasi mitandaoni kinamuonesha Wema akikata mauno wakati wimbo wa Wowowo ukipigwa

==>Tazama  video hapo chini
A post shared by MPEKUZI (@official_mpekuzi_blog) on
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )