Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Saturday, May 19, 2018

Mimi Mars Awataka Mashabiki Wake Kufuatilia Muziki Wake sio Muonekano.

adv1
Mwanadada kutoka Mdee muziki Mimi Mars amefunguka na kusema kuwa anawaomba sana mashabiki wake kufuatilia zaidi muziki wake na sio mwili wake kwa sababu kipindi cha nyuma alikuwa mnene sana na alikuwa haupendi kabisa mwili wake lakini kadri siku zilivyozidi kwenda aliona ni bora kuanza kupungua ili kukaa sawa lakini kitu cha ajabu kuna baadhi ya watu wamekuwa wakimsema vibaya kuhusu kupungua kwake.

Mimi Mars anasema kuwa aliamua kupunguza mwili wake ili kujiongezea kujiamini zaidi lakini pia kwa sababu mwili wake aliokuwa nao hapo awali alikuwa haumpendezi sana.

"Nilikuwa sijafurahishwa na nilchokuwa nina kiona , na klikuwa kikininyima confidence sana,so ilibidi nijitengeneze na kujibadilisha zaidi ili kuweka kuwa na ile confidence maana hilo ni swla muhimu zaidi katika industry tuliona yao sasa.

"Najua wengi hawajafurahishwa sana na , hawajakipenda  na wamekuwa wakilalamika sana lakini is me, ninafanya kile ninachokipenda mimi,waendelee kuupenda muziki wangu na kuendelea kuusikiliza lakini mwili wangu waniachie mimi."
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )