Saturday, May 19, 2018

Taarifa ya BOT Kuhusu Kuongezeka Kwa Deni la Taifa

Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imesema kuwa imeshtushwa na taarifa zilizoandikwa na Gazeti la Mwananchi tarehe 17 Mei taarifa hizo si za kweli na zinapaswa kupuuzwa.

Taarifa ya BOT imeeleza kuwa Gazeti hilo lilidai kwamba   imeongezeka Trilioni 12 katika deni la Taifa kati ya Disemba 2017 na March 2018 takwimu ambazo sio sahihi.

Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )