Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Friday, June 15, 2018

Irene: Simjui Zari Wala Hamissa....Mungu Akipenda Diamond Atanioa Mimi

adv1
Mwanadada Irene anazidi kuwashnagaza watu katika mitandao ya kijamii kutokana na kile anachosema kuwa hawajui wanawake wanaotembea na Diamond platinumz. 

Irene ambae alikumbwa pia na skendo ya kutoka kimapenzi na Diamond Platinumz na kusemekana kuwa alipata ujauzito na kuchoropoa anasema kuwa hawajui wanawake hao hata mmoja.

Akiongea katika refresh ya Wasafi Tv, Irene aliulizwa kama anajua chochote kuhusu mahusiano ya Zari , Hamisa na Diamond  na akaajibu  bila uoga” Zari ndo nani mbona simjui,  mimi simjui hata huyo Hamisa Mobeto kwa sababu mimi ni lynn mimi ndo simba na mimi ndio lion”

Hii sio mara ya kwanza mwana dada hyo kuulizwa kuhusu mahusiano yake na Diamond na amekuwa akisema kuwa hawajui wanawake wengine wa Diamond na kuhusu ndoa kama Mungu kapanga yeye kuolewa na Diamond basi ataolewa, kwake hana papara.
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )