Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Wednesday, June 13, 2018

Maneno ya Rais Magufuli akimtakia Heri ya siku ya kuzaliwa TB Joshua

Rais John Magufuli jana  alimtumia salamu za heri ya siku ya kuzaliwa, mchungaji maarufu wa Nigeria, TB Joshua, aliyefikisha miaka 55.
 
Rais Magufuli alituma salamu hizo kwenye ukurasa wake wa twitter,  Juni 12 akisema:

“Kwa niaba ya familia yangu, ninatuma salamu zangu za dhati katika siku yako ya kuzaliwa unapotimiza miaka 55. Mungu aendeelee kukupa uongozi mkubwa ili uweze kuleta ukombozi kwa watu wengi na kueneza harufu yake katika mataifa yote.” Heri ya siku ya kuzaliwa.”

Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )