Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Wednesday, June 6, 2018

Mbunge Stephen Ngonyani ( Profesa Majimarefu ) afiwa na mkewe

adv1
Mbunge wa Korogwe Vijijini, Stephen Ngonyani maarufu 'Profesa Majimarefu’ leo Jumatano Juni 6, 2018 amefiwa na mkewe, Mariam aliyekuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).

Mkurugenzi wa mawasiliano wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Aminiel Aligaesha amethibitisha kifo cha mke wa mbunge huyo  na kusema  kuwa aliaga dunia saa 3 asubuhi.
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )