Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Tuesday, June 19, 2018

Miili ya Askari 11 wa JKT Waliofariki Kwa Ajali kKuagwa Leo.....Tazama Picha zao Hapa

adv1
Mwili wa Mwanajeshi mmoja, vijana 10 wa JKT na Wafanyakazi wawili wa basi la Igunga Express waliofariki June 14 mwaka huu katika eneo la maili tano mtaa wa Igodima Mbeya itaagwa leo katika kambi ya JKT Itende

Akizungumza na waandishi wa Habari jana  June 18, 2018 katika ukumbi wa JKT Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa Jeshi la Wananchi (JWTZ ) Kanali Ramadhan Dogoli alisema taratibu zote zimekamilika.

Hapo chini kuna picha na majina ya vijana waliofariki katika ajali hiyo.
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )