Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Saturday, June 16, 2018

Robo Fainal Uhai Cup Kutimua Vumbi Leo

adv1
Na Magdalena Kashindye
Mashindano ya vijana wa timu za ligi kuu Tanzania bara walio chini ya umri wa miaka 20 kuendelea leo jijini Dodoma.

Michezo miwili itapingwa katika viwanja vya chuo kikuu cha Dodoma na mchezo wa kwanza utazikutanisha timu za Mbao FC ya jijini mwanza na Azam FC ya jijini Dar es Salam majira ya saa 8:00 mchana.

Mbao ilitinga hatua ya robo fainali kwa kumaliza kinara wa kundi A kwa I pointi 5 na Azam alimaliza wa katika nafasi ya pili kutoka kundi C kwa pointi 5.

Mchezo wa pili utapingwa saa 10:15  Kati ya mtibwa sugar ya morogoro na Ruvu shooting ya pwani. Mtibwa aliingia hatua ya robo fainali kwa kumaliza kinara wa kundi C kwa pointi 5 huku Ruvu shooting alimaliza kwa kushika nafasi ya pili kutoka kundi A.

Washindi wa leo wataingia hatua ya nusu fainal.
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )