Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Tuesday, June 12, 2018

Vigogo CHADEMA Mahakamani Tena Leo....Lowassa Naye Kafika

Kesi inayowakabili vigogo tisa wa Chadema, wakiongozwa na mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe inaendelea muda huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Waziri Mkuu wa Mstaafu, Edward Lowassa ametinga katika mahakama hiyo, akiambatana na viongozi wa chama, akiwemo Mbowe.

Wengine walioingia mahakamani hapo ni pamoja na Katibu Mkuu wa chama hicho, Vincent Mashinji, Naibu Katibu Mkuu John Mnyika (Bara), Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Salum Mwalimu (Zanzibar) na mbunge wa Bunda, Ester Bulaya.

Mahakama leo  kupitia Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri  inatarajiwa kutoa uamuzi kama upande wa utetezi (wakina Mbowe) ukate rufaa ama lah

Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )