Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Sunday, June 24, 2018

Waziri Mwakyembe Amtembelea Kumjulia Hali Mzee Majuto

Waziri Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb) jana  tarehe 23 Juni, 2018 amemtembelea msanii nguli wa filamu Bw. Amri Athumani (Mzee Majuto) ambaye amefikia katika Hospitali ya Muhimbili, Dar es Salaam akitokea India alipopelekwa na Serikali kwa ajili ya kupata matibabu.

 "Serikali inafuatilia matibabu yako kwa ukaribu, hivyo usiwe na wasiwasi", alisisitiza Dkt. Mwakyembe akiongoea na Mzee Majuto. 

Akizungumza Mzee Majuto ameishukuru Serikali kwa kumhudimia na kumpeleka India kupata matibabu.
tangazo
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )