Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Saturday, July 14, 2018

Breaking News: Rais Magufuli Katengua uteuzi wa Mkurugenzi wa NSSF

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Prof. Godius Kahyarara kuanzia leo July 14, 2018. Prof. Kahyarara atapangiwa kazi nyingine.

Kufuatia hatua hiyo, Rais Magufuli amemteua William Erio kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF.

Kabla ya uteuzi huo Erio alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF. Uteuzi wa Erio unaanza leo July 14, 2018.

Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )